Mita 200: Jaji mkuu alisema ruksa, Chikawe naye amesema ruksa

Mita 200: Jaji mkuu alisema ruksa, Chikawe naye amesema ruksa

ahahaha,mie kituo changu kipo almost 200 na shamba langu nitakacho kifanya:
a)tutaenda kupanda maharage watu tukiwa mbali mbali jicho moja ardhini lingine kituoni
b)nitakuwa nawafungulia kuku wangu makusudi kuelekea kituoni jicho moja kwa kuku lingine kituoni
c)tutawapa watoto mpira wacheze mpira ktk uwanja ulio karibu na kituo,jicho moja uwanjani lingine kituoni(sidhani kama askali wanaweza piga watoto)
 
Au ubebe na makopo na manyoya kuku kwenye rambo.
 
Kosa ambalo hatuwezi kumsamehe Kikwete ni kutovunja baraza la mawaziri hadi sasa huku akimwacha Chikawe aendelee kuwa Waziri wa Mambo ya ndani wakaati inafahamika wazi kuwa yupo upande wa adui (Rejea tamko lake wakati wa maandamano ya EL kuchukua fomu NEC),Kuna mawazi kadhaa watahujumu bao letu la mkono ni muda muafaka tu utatueleza yote!Magufuli mwenyewe ameshalalamika kuwa kuna wanaccm wengi mchana wako CCM lakini usiku wako UKAWA!
 
Sasa hao polisi vilaza wamepata wapi hiyo sheria yao?
 
Kosa ambalo hatuwezi kumsamehe Kikwete ni kutovunja baraza la mawaziri hadi sasa huku akimwacha Chikawe aendelee kuwa Waziri wa Mambo ya ndani wakaati inafahamika wazi kuwa yupo upande wa adui (Rejea tamko lake wakati wa maandamano ya EL kuchukua fomu NEC),Kuna mawazi kadhaa watahujumu bao letu la mkono ni muda muafaka tu utatueleza yote!Magufuli mwenyewe ameshalalamika kuwa kuna wanaccm wengi mchana wako CCM lakini usiku wako UKAWA!


Poleni sana.
Ni wakati umefika.
 
Mh Chikawe amesema kuwa ni ruksa kwa wananchi kukaa mita 200 kusubiri matokeo. Ameendelea kusema kuwa polisi wote wameshapewa maelekezo kuhusu hili ili wasipige watu mtama! Ni juzi tu Jaji Mkuu naye alisema ruksa!

Source: Channel ten & magazeti ya leo


Wanaleta unafiki baada ya kesi kufunguliwa! Mbona hawakusema kabla?
 
Kuwafanya mawakala na wasimamizi wasifanyiwe chochote,

Kutoruhusu kura zilizo pigwa tayari kuingizwa ndani ya kituo cha kupigia kura na chama chochote,

Kuwashinikiza mawakala na wasimamizi kutenda haki,

Pia ni democracy ya kuonyesha uchaguzi huru na wa haki,
 
Nashauri technic ya kulinda kura ni kwenda kwa mafungu mafungu, yaani tunaingia watu kadhaa alfajiri then kabla hawajaisha kituoni wanakuja wengine inaendelea hivyohivyo mpaka saa kumi, na kunakuwa na mawasiliano kutakapotokea sintofahamu tunaitana na tukisha solve tunapotea.

Ikifika saa kumi tunaanza kujongea kusubiri matokeo....

Mabadilikooooo....

Please Moderator Invisible@paw msiuunge huu uzi
 
Last edited by a moderator:
Sawa kamanda

681326465510382266
 
Njia nyingine ni kuhakikisha wasimamizi wote usiku wa leo na kesho wanazungumza na Presidaa moja kwa moja either live au kwa sms, ni vizuri presidaa awapatie maneno ya matumaini
 
Kwa ufupi kila mwana Mabadiliko ni mlinzi wa kura yake na ya mwenzake,punde unapoona dalili za goli la mkono toa ulinzi shirikishi halafu wataarifu na wenzako!!!
 
Hiyo nimeipenda sana kamanda mtoa hoja. Inabidi kweli tujipange tupeane nafasi, siyo wote tunajazana vituoni kwa wakati mmoja tunapiga alafu tunatoka wote.

Hiyo itatusaidia kubaini njama zozote ovu dhidi yamabadiliko. Mimi tayari nimelifanyia kazi kwakuwapa taarifa makamanda wenzangu huku mbezi, tumejipanga tutapishana kilamtu kwanusu saa. Yaani tumeshapanga kuanzia saa12 ataanza mmoja anaingia ktk foleni, saa12:30 anafuata mwingine, saa1:00 mwingine, saa1:30 mwingine........ hivohivo mpk muda wakufunga.

Nawengine tumekubaliana wasubiri mpk dakika za lala salama ili wawe wamwisho. Hii itasaidia sana kugundua dalili zozote zenye utata.

Piiiiiiiiipppppooooozzzzz!!!!!
 
Wanajukwaa,

Kutokana na baadhi ya maeneo kuwa na population kubwa [wapiga kura wengi] na kituo kimoja kina uwezo wa kuhudumia wapiga kura 450 hivyo vituo vimeongezwa,

katika vituo vilivyopangwa umbali kutoka kituo kimoja hadi kingine ni mita 200 vingine mita 250.
mfano
kuna kituo A, B Na C.

Kituo B kipo mita 200 kutoka kituo A.
Kituo C kipo mita 300 kutoka kituo B.
[A_B=200m, B_C=300m]


Ina maana, ukikaa mita 200 ya kituo A, unakuwa 0_meter (ndani ya kituo cha B] au ukikaa mita 200 ya kituo B, unakuwa mita 100 ya kituo C, au ukienda the same side mita 200 unakuwa 0_meter ya kituo A [ndani ya kituo A].

je tutakaa wapi hapo hasa wa kituo B?
Mungu Ibariki Tanzania.

youngsharo
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom