Differential Equations
JF-Expert Member
- Dec 21, 2016
- 204
- 200
Kama mnasubiri miujiza ndani ya serikali ya MCC msahau
Wakubali kufanya kazi bila posho basi hata kwa wiki mbili tuone uzalendo wao!Otherwise ni wizi wa kodi, let us be honestsasa utafanyaje mabadiliko ya mswada bila kwanza kupewa nafasi ya kuusoma na kuuelewa. tusipende kurahisisha mambo kisa tu tunabana matumizi
Anadokeza Mbunge John Heche wa CHADEMA akiwa Bungeni Dodoma.
"Tulisema CCM wanafanya sanaa na siasa kwenye masuala ya Madini baadhi ya watu wakashangilia upepo.
Leo tena wanaleta miswada (3) mitatu kwa "hati ya dharura" kujadili masuala ya madini na maliasili za nchi, wanataka miswada hii yote (3) mitatu ijadiliwe kwa siku (1) moja bila wananchi kupata nafasi ya kujua kilichomo hii ni aibu, na sasa CCM wanaonesha rangi zao halisi.
Haya yalifanyika kwenye Madini mwaka 1997, yalifanyika kwenye Gesi na Mafuta mwaka 2015 na yatatokea tena leo 29, June 2017, historia iandikwe!
Haya ndio chanzo cha makinikia na wizi wa rasrimali zetu, watanzania wakikubali haya ina maana tunakubali kuendelea kuibiwa".
Sidhani kama ni kweli, na kama ni kweli nchi hii TumelogwaAnadokeza Mbunge John Heche wa CHADEMA akiwa Bungeni Dodoma.
"Tulisema CCM wanafanya sanaa na siasa kwenye masuala ya Madini baadhi ya watu wakashangilia upepo.
Leo tena wanaleta miswada (3) mitatu kwa "hati ya dharura" kujadili masuala ya madini na maliasili za nchi, wanataka miswada hii yote (3) mitatu ijadiliwe kwa siku (1) moja bila wananchi kupata nafasi ya kujua kilichomo hii ni aibu, na sasa CCM wanaonesha rangi zao halisi.
Haya yalifanyika kwenye Madini mwaka 1997, yalifanyika kwenye Gesi na Mafuta mwaka 2015 na yatatokea tena leo 29, June 2017, historia iandikwe!
Haya ndio chanzo cha makinikia na wizi wa rasrimali zetu, watanzania wakikubali haya ina maana tunakubali kuendelea kuibiwa".
Ulitangaza kumuunga mkonoMkuu nani alikwambia ccm imebadilika, huyo Mwenyekiti wao ni msanii tu
same people, same dance but different styleHaya yalifanyika kwenye Madini mwaka 1997, yalifanyika kwenye Gesi na Mafuta mwaka 2015 na yatatokea tena leo 29, June 2017, historia iandikwe!
C.C.M ni wasaniinani alikwambia ccm imebadilika, huyo Mwenyekiti wao ni msanii tu
Itakuwa vizuri ukitusaidia hapa hivyo vipengele vitakavyobadilishwa na sheria zipi mpya zitakazo pitishwaJamaa wanapenda posho hawa....!Hivi kweli kuna ambacho hatukijui kwenye kurekebisha sheria za madini, gesi, na mafuta??Sio kwamba inaletwa miswada mipya hapana, ni ile ya zamani ifanyiwe marekebisho ambayo tayari tumeshayapigia makelele sana!Mnataka kuendelea kutafuna kodi zetu mpk lini???Rekebisheni miswada acheni kulalama, kwanza Heche sijui kama atatoa hata mchango!
Mkuu nani alikwambia ccm imebadilika, huyo Mwenyekiti wao ni msanii tu