mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 32,086
- 39,585
Hulazimishwi kitu hapa, tuambie sasa hilo jambo alilofanya marehemu
Hukutaka kujua huko eneo la tukio ukaja mbio kuandika huku nikikwambia mimi utanielewa??
Hulazimishwi kitu hapa, tuambie sasa hilo jambo alilofanya marehemu
Ukibisha ile sio rangi nyekundu ni vema ukasema ni rangi gan, sio unapinga afu ukiulizwa unang'aang'aa macho tu, ni uzuzu
Kutoielewa hii hadithi niwe na matatizo!!!!!!
Unanilazimisha kuikubari au,nakwambia lazima kuna jambo kafanya huyo marehem.hutaki unaacha.
Mkorinto ndugu yangu..
Ina wezekana walipishana kiswahili maana wale wanavyojifanya miungu watu jambo dogo inakuwa soo.au pengine huyo mtu ana kisa nao au chuki binafsi nk.kuna mengi wanafanya hawa hayasemwi.
Wengi wao ni wakosefu sana.sijui kama ni ugumu wa maisha au ndo wanapewa vichwa na wakubwa.? Kuna raia kawahi kubakwa kituoni na akaambiwa anyamaze ili kesi yake iliyompeleka pale ifutwe.na kweli ilifutwa.!
Inaelekea upo mbali na redio,wameitangaza sana nimeisikia kwa siku mbili mfululizo.Kijana alienda kutoa taarifa za ubakaji katika gest aliyokuwa anafanyia kazi kama manager wa gest ila police ndo wakamgeuzia kibao na hata bint aliyekuwa anabakwa alishangaa kweli..ila police hao wamekamatwa na watafunguliwa mashitaka ya kuuaHii habari ni ya kweli au ya kutunga?
Jina lako linaonyesha unajua maana ya hii kitu, ng'wale kwa wananzengo wa huku kwetu ni kwale, lakini WANANZENGO ni wanakijiji, wananchi wa nzengo (kijiji/mtaa) fulani
Naungana na wewe.
Wee una ubongo kweli? au mejaza matope kichwani?Kwani hao raia hapo vipi, hawana kiberiti?
Kwani hao raia hapo vipi, hawana kiberiti?