Siku zote kinyesi huambatana na mkojo.Naungana na wewe.
Wacha hasira basi!!
Na je unaamini kuwa polisi huwa wanaua raia wasio na hatia?
Nina uhakika kabisa kuwa MAMA yako MZAZI siku atakayobakwa na kuliwa na kiongozi yeyote wa ccm wewe utakuwa mtetezi namba moja wa kiongozi huyo atakayembaka mama yako,na hata siku mwana ccm akikuambia leo tunataka tumbake mama yako wewe utasema hewala,tunaishi na jamii kubwa ya wafia chama mitaani mwetu ila wana nafuu kiakili kuliko wewe.
CHADEMA wanawadanganya watu wanaumia na kufariki wao wanatafuta madaraka ya kushika dola tu! watoe ruzuku kwa wafiwa upesi. watu msilaghaiwe na chadema mtakufa wenzenu watakwea pipa nyinyi je?
Jamaa kaenda kutoa taarifa za polisi, kwa mfano tuseme labda jamaa aliwakosea polisi baada ya kufika pale tena ndo panaitwa mahali salama, je ni kosa gani ambalo unahisi raia anaweza fanya tena akiwa mahali salama (polisi station) lipelekee polisi kuua mtu tena sio kwa siraha bali kwa kipigo kikali? Kama hali iko hivyo mahali pa usakama wa raia je mtaani hali iweje?
Duh! Wanasema kuna watu na viatu duniani basi wewe ni kiatu, tena vile vya matairi ya gari au vile vya mikanda vya kuogea aka malapa
Hili lijitu hili!! Yaani basi tu!sijui kama akili zake ziko sawa?Nimeacha hasira,niambie kichaa wangu, charlii yangu,ni ajeee?
We zombie wa mbowe ndio unajiona mtu! hovyoooo!
Hili ndilo hasaa tunataka kujua,jamaa alifanya nini mpaka akapigwa.
Haingii akilini atoe taarifa tu,apigwe mpaka kufa.
Kufa kituoni inawezekana kabisaa,hata kama ni mahali pa usalama,inategemea umefika kwa miondoko ipi.
Alienda kutoa taarifa wakamuua hata mkuu wa mkoa mulongo ndo alisema hivyo wakati akiongea na wananchi wa pale na alisikitika sana na palepale akaagiza wausika wapigwe kudu, basi kama haiingii kwenye akili yako basi hilo ni tatizo lako binafsi lakini tukio ndo liko hivyo
Mwaka wa uchaguzi tutasikia na kuona mengi sana.
Nimeacha hasira,niambie kichaa wangu, charlii yangu,ni ajeee?