Misungwi: Polisi wampiga mtu hadi kumuua

Misungwi: Polisi wampiga mtu hadi kumuua

Ndo maana sina huruma na polisi wanaouawa na wananchi
 
Nenda kajaribu na kakibiriti kako uwaulize wenzako!


We wa wapi .! ? Mbona vimechomwa sana vituo tanzania hii. Unadhani watu hawachoki weye.? Wameuliwa wangapi hao .? Tena nadhani wewe umetoka sayari nyengine khasa au umezaliwa mwezi huu. Jibebe.!
 
Hamtoi chanzo nyie mna jump to conclusion , kuna vitu haviwekwi wazi hapo! mnakomalia kusema eti mtu kaenda kutoa taarifa halafu akauawa! haiingii akilini hata kidogo, wanachadema wangapi wanapata shida na wanapokelewa vizuri tu na polisi na huduma nzuri tu wanapewa! inakuwaje huyu? semeni mkasa mzima sio kwa kuwa wao polisi hawamo humu jf kujidefend basi mnawajazia kila uozo!

Sema kweli wewe ....polisi siku hizi wamo pia ni njaa.vibaka.majambazi.majangiri .mabwabwa mradi ile heshima kwa polisi imeshuka na wanajiharibu wenyewe.mpaka wauzaji na watumiaji sembe pia wamo.bangi ndo kwao tena takriban vyombo vyote vya ulinzi. Kazana kutetea pengine umewekeza huko.!

Siongelei chama.nasema jumla jamala .! Ukiwa na hela watakuabudu nyandu hawa.!
 
Kaenda kutoa taarifa ya ugomvi polisi,kapigwa mpaka kufa!!!!mh.

Naamini hata raisi angetolea tamko hii kitu,lakini ninaimani mleta mada umeamua uwe wa kwanza kuripoti kwa makusudi unayoyajua,bila uchunguzi au umeficha baadhi ya mistari.
 
Mabadiliko ya kweli katika taasisi za unma ni mpaka Kikwete aondoke madarakani

Nilihuzunika sana pale Majuzi JK alipowataka Polisi wajiandae kukabiliana na vurugu zozote bila ya kulizungumzia tatizo linazidi kukua la Polisi kudhuru na kuua raia wasio kuwa na hatia.. Yeye kama Raisi na amiri jeshi mkuu alitakiwa kulizungumzia hili tatizo ambalo linavunja katiba ya nchi na kuwaondolea watu haki yao ya kuishi..

Nakuunga mkono kwa hilo..
 
Nilihuzunika sana pale Majuzi JK alipowataka Polisi wajiandae kukabiliana na vurugu zozote bila ya kulizungumzia tatizo linazidi kukua la Polisi kudhuru na kuua raia wasio kuwa na hatia.. Yeye kama Raisi na amiri jeshi mkuu alitakiwa kulizungumzia hili tatizo ambalo linavunja katiba ya nchi na kuwaondolea watu haki yao ya kuishi..

Nakuunga mkono kwa hilo..

Alichoongea JK hakina tofauti na alichoongea PM,ni kuwapa uhakika polisi nini wafanye.kazi kwao waandamanaji.
 
Kunahitajika mabadiliko ya sheria zinazotumika ktk jeshi la polisi.

Kwani kuna sheria inayoruhusu mtu kupigwa na polisi hadi zibadirishwe? Jeshi la polisi linafanya kazi chini ya sheria nyingi sana na hakuna hata moja inayomruhusu askari kumpiga mshtakiwa zaidi ya kumfikisha kituoni au mahakamani. Ni uwendawazimu na mazoea ya polisi kupiga raia miaka nenda rudi na hakuna tamko wala kemeo kutoka juu.
Naamini kama wananchi wangekuwa wanazifahamu sheria vizuri hakika kusingekuwa na manyanyaso makubwa ya kiwango hiki kwa raia. Ila yote yataisha tu coz its just a matter of time
 
Kaenda kutoa taarifa ya ugomvi polisi,kapigwa mpaka kufa!!!!mh.

Naamini hata raisi angetolea tamko hii kitu,lakini ninaimani mleta mada umeamua uwe wa kwanza kuripoti kwa makusudi unayoyajua,bila uchunguzi au umeficha baadhi ya mistari.

Jamaa kaenda kutoa taarifa za polisi, kwa mfano tuseme labda jamaa aliwakosea polisi baada ya kufika pale tena ndo panaitwa mahali salama, je ni kosa gani ambalo unahisi raia anaweza fanya tena akiwa mahali salama (polisi station) lipelekee polisi kuua mtu tena sio kwa siraha bali kwa kipigo kikali? Kama hali iko hivyo mahali pa usakama wa raia je mtaani hali iweje?
 
Nani aliwatuma tena wakavamie kituo! hao polisi wamezidi upole, kumng'oa jicho haitoshi wangeng'oa wengi tu!
Nina uhakika kabisa kuwa MAMA yako MZAZI siku atakayobakwa na kuliwa na kiongozi yeyote wa ccm wewe utakuwa mtetezi namba moja wa kiongozi huyo atakayembaka mama yako,na hata siku mwana ccm akikuambia leo tunataka tumbake mama yako wewe utasema hewala,tunaishi na jamii kubwa ya wafia chama mitaani mwetu ila wana nafuu kiakili kuliko wewe.
 
Hao raia wajinga wao wanaandamana kwenda kituo cha polisi ili iweje halafu tarifa yako imekaa kishabiki mimi siamini mtuakienda kutoa tarifa za uharifu anapigwa tu eleza vizuri bana unapotosha.
Na je unaamini kuwa polisi huwa wanaua raia wasio na hatia?
 
Back
Top Bottom