Misungwi: Polisi wampiga mtu hadi kumuua

Kwani hao raia hapo vipi, hawana kiberiti?

Tena kweli. hawa wameshawapoteza imani raia.na wangepeleleza kuwajua wahusika ili wawatemeshe roho vile vile.na kituo kipigwe moto.maana hapo polisi watateteana tu.!
 
Katika hali ya kusikitisha polisi wilayani Missungwi wamempiga hadi kufa kijana mmoja mtoto wa aliyekuwa mwenyekiti wa CHADEMA wilaya hiyo kamanda Dickson, kosa la kijana huyo ni kwenda kituo cha polisi kutoa taarifa za ugomvi uliokuwa umetokea kwenye guest house moja hapo Missungwi, cha kusikitisha na kushangaza polisi badala ya kupokea taarifa na kuzifanyia kazi walianza kumpiga kijana huyo na baadae kumpeleka hospitali ambapo ilibainika tayari keshafariki.

BABA WA MAREHEMU AKATAA KUZIKA MAITI
Katika hali nyingine baba wa marehemu bwana Dickson pamoja na ndugu wengine na Nzengo pia wamegoma kuichukua maiti hospitali na kwenda kuizika hatua ambayo ilisababisha RC Magesa Mulongo kwenda kushughulikia suala hilo kwa kuongea na ndugu pamoja na Nzengo hatua ambayo iligonga mwamba.

MTOTO MDOGO APATA ULEMAVU WA MAISHA

Katika hali nyingine ambayo mimi binafsi imenisikitisha zaidi, mtoto mmoja mwanafunzi wa shule ya msingi amesababishiwa ulemavu wa maisha na polisi hao wa Tanzania, baada ya Nzengo kujua kijana kafariki kwa kupigwa na polisi, Nzengo ilichachamaa na kuandamana kuelekea kituoni ndipo askari hao wakaitana na wenzao kutoka Mwanza Mjini na kuja kupiga mabomu hovyo hovyo kana kwamba hawana taaluma yoyote ya mambo hayo hapo ndipo kiliruka kitu kutoka kwenye mabomu hayo na kumpata mtoto huyo jichoni na kusababisha jicho la mtoto huyo kutoka, inasikitisha kwa kweli.

Hivi sasa mtoto huyo wa darasa la pili tena binti ndio tayari kawa na kilema cha kudumu maisha yake yote kisa polisi wapuuzi, huruma.

Nani aliwatuma tena wakavamie kituo! hao polisi wamezidi upole, kumng'oa jicho haitoshi wangeng'oa wengi tu!
 
Hao raia wajinga wao wanaandamana kwenda kituo cha polisi ili iweje halafu tarifa yako imekaa kishabiki mimi siamini mtuakienda kutoa tarifa za uharifu anapigwa tu eleza vizuri bana unapotosha.
 
Katika hali ya kusikitisha polisi wilayani Missungwi wamempiga hadi kufa kijana mmoja mtoto wa aliyekuwa mwenyekiti wa CHADEMA wilaya hiyo kamanda Dickson, kosa la kijana huyo ni kwenda kituo cha polisi kutoa taarifa za ugomvi uliokuwa umetokea kwenye guest house moja hapo Missungwi, cha kusikitisha na kushangaza polisi badala ya kupokea taarifa na kuzifanyia kazi walianza kumpiga kijana huyo na baadae kumpeleka hospitali ambapo ilibainika tayari keshafariki.

BABA WA MAREHEMU AKATAA KUZIKA MAITI
Katika hali nyingine baba wa marehemu bwana Dickson pamoja na ndugu wengine na Nzengo pia wamegoma kuichukua maiti hospitali na kwenda kuizika hatua ambayo ilisababisha RC Magesa Mulongo kwenda kushughulikia suala hilo kwa kuongea na ndugu pamoja na Nzengo hatua ambayo iligonga mwamba.

MTOTO MDOGO APATA ULEMAVU WA MAISHA

Katika hali nyingine ambayo mimi binafsi imenisikitisha zaidi, mtoto mmoja mwanafunzi wa shule ya msingi amesababishiwa ulemavu wa maisha na polisi hao wa Tanzania, baada ya Nzengo kujua kijana kafariki kwa kupigwa na polisi, Nzengo ilichachamaa na kuandamana kuelekea kituoni ndipo askari hao wakaitana na wenzao kutoka Mwanza Mjini na kuja kupiga mabomu hovyo hovyo kana kwamba hawana taaluma yoyote ya mambo hayo hapo ndipo kiliruka kitu kutoka kwenye mabomu hayo na kumpata mtoto huyo jichoni na kusababisha jicho la mtoto huyo kutoka, inasikitisha kwa kweli.

Hivi sasa mtoto huyo wa darasa la pili tena binti ndio tayari kawa na kilema cha kudumu maisha yake yote kisa polisi wapuuzi, huruma.

CHADEMA wanawadanganya watu wanaumia na kufariki wao wanatafuta madaraka ya kushika dola tu! watoe ruzuku kwa wafiwa upesi. watu msilaghaiwe na chadema mtakufa wenzenu watakwea pipa nyinyi je?
 
Huu uonevu utaisha siku serikali ya ccm ikiondoka madarakani ambao mwaka huu poleni sana wafiwa wote hiyo damu ya ndugu italipwa siku moja.TIME WILL TELL
 
Tena kweli. hawa wameshawapoteza imani raia.na wangepeleleza kuwajua wahusika ili wawatemeshe roho vile vile.na kituo kipigwe moto.maana hapo polisi watateteana tu.!

Nenda kajaribu na kakibiriti kako uwaulize wenzako!
 
CHADEMA wanawadanganya watu wanaumia na kufariki wao wanatafuta madaraka ya kushika dola tu! watoe ruzuku kwa wafiwa upesi. watu msilaghaiwe na chadema mtakufa wenzenu watakwea pipa nyinyi je?
Mawazo ya kijinga hutolewa na mtu mjinga huyu polisi aliyemua huyu mtu alimkuta kwenye maandamano au mkutano wa Chadema?
 
Hamtoi chanzo nyie mna jump to conclusion , kuna vitu haviwekwi wazi hapo! mnakomalia kusema eti mtu kaenda kutoa taarifa halafu akauawa! haiingii akilini hata kidogo, wanachadema wangapi wanapata shida na wanapokelewa vizuri tu na polisi na huduma nzuri tu wanapewa! inakuwaje huyu? semeni mkasa mzima sio kwa kuwa wao polisi hawamo humu jf kujidefend basi mnawajazia kila uozo!
 
Back
Top Bottom