gm man
JF-Expert Member
- Nov 26, 2017
- 1,177
- 1,456
Wakuu
Huo mstari mkubwa mweusi ulikuwa mdogo miezi miwili iliyopita lakini kadiri siku zilivyozidi ukaendelea kujigawanya na kuwa mkubwa ukiangalia vizuri chini yake kuna mistari mingine midogo imejiagawanya na inakua Kila siku
PC sijawahi kuilalia wala kuangusha Hata kuiwekea kitu kizito
Je, tatizo litakuwa ni nini?
Naomba Msaada wa kulitatua