Mission na vision ya Serikali ya Rais Samia ni ipi?

" ilikua ni kuhakikisha kuwa Tanzania inakua nchi ya viwanda"

Hakuna nchi iliyoanzisha viwanda kabla ya kuboresha kilimo kikawa cha kisasa na elimu ya ufundi ikapewa mkazo.

Tulikuwa tunapelekwa chaka.
 
Wakati tunaiona serikali ya awamu ya tano tulikua na picha halisi ya wapi tunaelekea kama Taifa.

Malengo ilikua ni kuhakikisha kuwa Tanzania inakua nchi ya viwanda.

Ili kutimiza lengo hilo swala la Nishati likawa na Umuhimu wake.

Kupata nishati ya uhakika mradi ya Stiglers Gorge / nyerere kutoa megawats 2400 ukaanzishwa hatimaye.

Serikali ikaamua pia kuhakikisha miundombinu inapatikana hapo tukaona ujenzi wa barabara , madaraja na hatimaye mradi mkubwa wa ujenzi wa Reli ya SGR ukishika kasi.

Ujenzi wa vituo vya afya pia ulifanyika lengo likiwa ni kuwa na huduma bora ya afya inayoendana na kasi ya uzalishaji mali.

Miundombinu, Afya na miradi ya kimkakati pekee haikutosha pekee kuhakikisha kuwa tunafikia malengo ya kuwa wazalishaji na sio wachuuzi tu kwani serikali iliweka jitihada mbali mbali za kuhakikisha kwamba rasilimali zetu zinalindwa kwa kuweka sheria mbali mbali na kuhakikisha kwamba watumishi wa uma wanatoa huduma bora na kuachana na uzembe na ubadhirifu jambo liloongeza nidhamu na uwajibikaji kwa watumishi wa umma.

Serikali haikuwa nyuma katika kukusanya mapato na kuyasimamia vyema mapato ambayo yalitumika kufund miradi ya kimkakati.

Kwa uchache tu kama Taifa tuliona kabisa wapi tunakwenda kwani ramani ya safari ilikua inaonekana kwa miradi hiyo ya kimkakati.

Baada ya Kiongozi mkuu wa awamu ya tano kumaliza safari yake, mrithi wake alishika usukani na kuahidi kumalizia miradi hiyo ya kimkakati jambo ambalo kiuhalisia ndilo linalofanyika.

Wakati tukiendelea kumaliza miradi ya kimkakati iliyoanzishwa na watangulizi wa awamu ya sasa tunapaswa kujua kama Taifa uelekeo wetu ni upi.

Haraka haraka kutokana na vitendo vya awamu ya sasa utaona kwamba lengo ni kuwapa wawekezaji nafasi zaidi ya kuwekeza hapa nchini.

Maana ikiwa kwamba kutengeneza mazingira mazuri kwa wafanyabiashara wa nje kuja kuwekeza hapa nchini.

Tumeshuhudia safari za kiongozi na pia mabadiliko ya sheria na sera kama kutoa ardhi kwa wawekezaji na urahisi wa kupata vibali vya kufanyia kazi hapa nchini.

Kama Taifa tunatumia matrilioni ya pesa kukamilisha miradi ya kimkakati lengo likiwa ni kuwa na Taifa la wawekezaji.

Miradi hii ikikamilika nini itakua nafasi ya mtanzania mzawa katika kuzalisha.

Je ataweza kushindana na wawekezaji wa nje wenye mitaji ya fedha na ujuzi??

Je serikali imewaandaa vipi watanzania katika kushiriki moja kwa moja katika shughuli za kiuchumi kama wawekezaji.

Je sera za awamu hii ya sasa zinalenga kumnufaisha mzawa au kumnufaisha zaidi mgeni??

Katika mizania hii ni vyema kukawa na mkakati wa makusudi wa serikali kuhakikisha kwamba wazawa wanashiriki moja kwa moja katika uzalishaji na sio kunufaika na faida ndogo ndogo zitokanazo na uwekezaji wa nje.

Je, ni nini hasa mission na vision ya awamu hii ambayo ndiyo itaweka msingi wa safari yetu baada ya kukamilika kwa miradi ya kimkakati??
bookish
 
Nadhani anaponya kwanza majeraha mioyoni mwa watu.

Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
 
Vision iko clear ni Kazi na Bata, Cheza kwa step ndio model yake
 
Back
Top Bottom