Missing you

Rafiki yangu wa kwenye kona ya muuza matunda...

Nimekukosa pia, naona umekuwa adimu kidogo Kasie...
 
Babe, ....u rock.... I love u to faint mmuahh
 
Rafiki yangu wa kwenye kona ya muuza matunda...

Nimekukosa pia, naona umekuwa adimu kidogo Kasie...

Missing u too Watu8 na mvua hizi mazoezi ya kutembea nimesimama. One day I will go to matunda man then I will call u there.
Uko poa lakini?
 
Last edited by a moderator:
Kweli kabisa, fanya urudi, tunakumiss sana!

Bado nappambana ila wiki ya pasaka ntakuwepo na June vacation itakuwa kula bata kwa kwenda mbele
 
Missing u too Watu8 na mvua hizi mazoezi ya kutembea nimesimama. One day I will go to matunda man then I will call u there.
Uko poa lakini?

Mvua hizi watu huamia mazoezi mengine kabisa teh teh teh!!!

Mzima sana miye Kasie namshukuru Mungu...
 
Last edited by a moderator:
Mvua hizi watu huamia mazoezi mengine kabisa teh teh teh!!!

Mzima sana miye Kasie namshukuru Mungu...

Hahahaaa room tennis na pool table sio hahahahaaa blankenti chapa mtu. Sasa mie ambae sina blanket I napigwaje na baridii. Hata club nimepumzika kwenda, Nina ugwadu balaa
 
Ahsante Miss Kasinde...

Miss you too....ila bado natumikia ban niliyopigwa na hawa wadau wapya wa MMU!!

Ubarikiwe sana....hadi upate mapacha wanne!!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaa room tennis na pool table sio hahahahaaa blankenti chapa mtu. Sasa mie ambae sina blanket I napigwaje na baridii. Hata club nimepumzika kwenda, Nina ugwadu balaa

Hehehe Kasie weye ukose wa kukutoa ugwadu walah siamini...
 
Amini hivo rafiki yaani tangu January hadi Leo sijala ndizi bukoba.... Hata nawaza siku ya kula matokeo ntapigaje keleleee. So unajua mie huwa sidanganyi nisemayo ni kweli.
Race care
 
Ahsante Miss Kasinde...

Miss you too....ila bado natumikia ban niliyopigwa na hawa wadau wapya wa MMU!!

Ubarikiwe sana....hadi upate mapacha wanne!!

Babu DC!!
Hahaaa babu pacha NNE duuh ntazibebea wapi. Asante kwa nataka zako na pole kwa ban.
Hivi huku hakuna kuwekewa dhamana kama ilivo mahakamani? Ukipigwa ban ndo basi hadi muda uishe?!!! Pole babuu ntakuletea matunda nikija kukutembelea.
 
Last edited by a moderator:
Hahaaa babu pacha NNE duuh ntazibebea wapi. Asante kwa nataka zako na pole kwa ban.
Hivi huku hakuna kuwekewa dhamana kama ilivo mahakamani? Ukipigwa ban ndo basi hadi muda uishe?!!! Pole babuu ntakuletea matunda nikija kukutembelea.

Hahahahahahahaah,

Matunda yes....ila lingekuwa moja ningeomba ushauri wa bibi kwanza.....lol!!

Ubarikiwe sana!
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…