Missing you a lot my @Erickb52

Missing you a lot my @Erickb52

Chocs

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2012
Posts
8,437
Reaction score
4,829
Greetings wapendwa

Hii ni kutoka ndani ya moyo, kiukweli nimekumis mno Erickb52 beibe hata wanaokwenda vitani hawachelewi kiasi hicho.
Kila siku unasema utarudi nasubiri kuanzia asubuhi mpaka jioni lakini waapi
Madame B my wii au yupo huko nyumbani,cousin bro Mr Rocky hujanionea huko huyu kiumbe!.
Nashindwa kumuliza Bishanga maana......mmmmh, kwahiyo naomba Mamndenyi na The secretary mnisaidie kunitizamia huko

Halafu sikukaguliwa nayo inaniwia vigumu kuuliza kwa m/kiti Baba V na mshenga wake Asprin

Naamini upo salama, bado nakungoja kwa hamu zote...na nakupenda sana

Kila la kheri huko ulipo.
 
Last edited by a moderator:
heeee unanitafutia noma gani hili tena
yaani unaniweka mstari mmoja na The secretary tena na Bishanga pembeni

hivi unahesabu kuwa na wewe una beibe erickb52 daaaah
kweli poleeee we.

vinginevyo ni vizuri watu kutafutana
huwezi jua ndo yule aliyepelekwa tbr
wewe unacheka cheka tu hapa.

lakini bango liko wapi
mwenzio alikuwa na bango na watoto
wewe je?
 
Chocs nshakwambia mbona husikii Erickb52 yuko lupango baada ya kubambwa live anamchoropoa mke wa ntu ( name withheld) mimba,si unajua jamaa ni bushdoctor,embu niPM nikupe data zote maana alipanic baada ya kumtia mimba maiwaif wa mtu.
 
Last edited by a moderator:
Ggggggrrrrrrrrrrrhhhhhhh.....maneno yako siyaamini mana ndoa yako mwenyewe inakaribia kukushinda...nisaidie bwana

Usilolijua ni sawa na usiku wa giza Mamndenyi.....usione nimekuja mbele za watu, ujue kuna jambo
heeee unanitafutia noma gani hili tena
yaani unaniweka mstari mmoja na The secretary tena na Bishanga pembeni

hivi unahesabu kuwa na wewe una beibe erickb52 daaaah
kweli poleeee we.

vinginevyo ni vizuri watu kutafutana
huwezi jua ndo yule aliyepelekwa tbr
wewe unacheka cheka tu hapa.

lakini bango liko wapi
mwenzio alikuwa na bango na watoto
wewe je?
 
Last edited by a moderator:
Ggggggrrrrrrrrrrrhhhhhhh.....maneno yako siyaamini mana ndoa yako mwenyewe inakaribia kukushinda...nisaidie bwana

Unapenda mtu hata kuhonga haongi bana? Unanikera Chocs ujue
 
Last edited by a moderator:
Ggggggrrrrrrrrrrrhhhhhhh.....maneno yako siyaamini mana ndoa yako mwenyewe inakaribia kukushinda...nisaidie bwana

Chocs anayo yasema bishanga ni ya kweli kabisa na kabla ya hapo Erickb52 alifumaniwa na mke wa mtu, hapa ninapo kwambia case yake imegeuzwa na kuwa ya kigaidi. sijui kama utamuona tena
 
Last edited by a moderator:
Mmmmmm.. Erickb52 wanaotaka kuharibu kumbe ni wengi namna hii...naahidi kukupenda daima
Rutashobolwa bila ushahidi wa kuthibitisha hili, bado hujanikonvinsi!!
Chocs anayo yasema bishanga ni ya kweli kabisa na kabla ya hapo Erickb52 alifumaniwa na mke wa mtu, hapa ninapo kwambia case yake imegeuzwa na kuwa ya kigaidi. sijui kama utamuona tena
 
Last edited by a moderator:
madeni yamemzidi akaamua ku-enter the trees!!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom