Missing you a lot my @Erickb52

Missing you a lot my @Erickb52

Chocs binamu si nilikuambia juzi kuwa Erickb52 aliko we hebu nenda pale baa mpya utamkuta kuna baa maid wapya pale yaani jamaa yako habanduki kula kulala pale pale
 
Last edited by a moderator:

1372247396993.jpg
Take care my Chocs !
:mwaaah:I love you with all my heart!:mwaaah:
I remain
Erickb52
 
Last edited by a moderator:
Greetings wapendwa

Hii ni kutoka ndani ya moyo, kiukweli nimekumis mno Erickb52 beibe hata wanaokwenda vitani hawachelewi kiasi hicho.
Kila siku unasema utarudi nasubiri kuanzia asubuhi mpaka jioni lakini waapi
Madame B my wii au yupo huko nyumbani,cousin bro Mr Rocky hujanionea huko huyu kiumbe!.
Nashindwa kumuliza Bishanga maana......mmmmh, kwahiyo naomba Mamndenyi na The secretary mnisaidie kunitizamia huko

Halafu sikukaguliwa nayo inaniwia vigumu kuuliza kwa m/kiti Baba V na mshenga wake Asprin

Naamini upo salama, bado nakungoja kwa hamu zote...na nakupenda sana

Kila la kheri huko ulipo.

mwenyewe anayetafutwa analike then anawachungulia tu,
 
Hahaha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom