Greetings wapendwa
Hii ni kutoka ndani ya moyo, kiukweli nimekumis mno
Erickb52 beibe hata wanaokwenda vitani hawachelewi kiasi hicho.
Kila siku unasema utarudi nasubiri kuanzia asubuhi mpaka jioni lakini waapi
Madame B my wii au yupo huko nyumbani,cousin bro
Mr Rocky hujanionea huko huyu kiumbe!.
Nashindwa kumuliza
Bishanga maana......mmmmh, kwahiyo naomba
Mamndenyi na
The secretary mnisaidie kunitizamia huko
Halafu sikukaguliwa nayo inaniwia vigumu kuuliza kwa m/kiti
Baba V na mshenga wake
Asprin
Naamini upo salama, bado nakungoja kwa hamu zote...na nakupenda sana
Kila la kheri huko ulipo.