missing u jaman humu

missing u jaman humu

Karibu tumejaa tele!Tena wengine tumetoka kuzurura hukoo kwenye siasa
 
Kumbe ndo maana nilikuwa najihis kummiss mtu halafu sijui ni nani. Kumbe ni wewe?

Kwani ulikuwa wapi Ms. Kadadaa jumapili?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom