Missing the Old JF Era

Missing the Old JF Era

We mlugha lugha si ungeposti kule jukwaa la kenya, ungepata watu mnaoelewana nao chapu kwa haraka, sasa unakuja jukwaa la makachumbali mahabati na mada za upungufu wa makali, au labda mimi ndo sijaelewa unaongelea makali ya nguvu za kiume.
 
Siku hizi most members just stay low-key. Ile legacy ya wakati ule imepotea.

Ile vibes na zile late nights zilizokuwa zikifanyika kwa sababu ya non-stop conversations are slowly dying. I really miss the JF old era.”
Kwani sababu hauzijui?

Hoji kwanza uonevu unaoendelea sasa wa kuifungia Jf kinyume cha sheria.

Tumepoteza members wengi sana kwa kitendo hiki.

Kunafuatiwa na mamluki uchwara kupokelewa na kumwagwa Jf na hadi wengine kukabidhiwa fimbo ya umoderator na kuanza kuziminya ovyo topic za maana, ama topic ya mtu kuchanganywa kwenye topic ya mtu mwingine, mambo ya hovyo hovyo tu!

Sielewi ni kwa nini mkurugenzi aliingizwa mkenge wa namna hii!

Mi mwenyewe sasa hivi natafuta ni platform gani ya waungwana ya maana nijiunge nayo.
 
Kwani sababu hauzijui?

Hoji kwanza uonevu unaoendelea sasa wa kuifungia Jf kinyume cha sheria.

Tumepoteza members wengi sana kwa kitendo hiki.

Kunafuatiwa na mamluki uchwara kupokelewa na kumwagwa Jf na hadi wengine kukabidhiwa fimbo ya umoderator na kuanza kuziminya ovyo topic za maana, ama topic ya mtu kuchanganywa kwenye topic ya mtu mwingine, mambo ya hovyo hovyo tu!

Sielewi ni kwa nini mkurugenzi aliingizwa mkenge wa namna hii!

Mi mwenyewe sasa hivi natafuta ni platform gani ya waungwa nijiunge nayo.
inasikitisha sana.
 
Naunga mkono ndugu, ila kuhusu kuhama hapa kidogo haipo sawa, piga uwa haniondoi mtu humu.
 
Siku hizi most members just stay low-key. Ile legacy ya wakati ule imepotea.

Ile vibes na zile late nights zilizokuwa zikifanyika kwa sababu ya non-stop conversations are slowly dying. I really miss the JF old era.”
JF ya GTs ile 😄😄😄
Majukumu tu na siku hizi mitandao imekuwa mingi sana
 
Siku hizi most members just stay low-key. Ile legacy ya wakati ule imepotea.

Ile vibes na zile late nights zilizokuwa zikifanyika kwa sababu ya non-stop conversations are slowly dying. I really miss the JF old era.”
You can never cross the same river twice.
 
Mada nyingi sana zimeshazungumziwa humu JF ndiyo maana hakuna vitu vingi vipya vinavyoongelewa zaidi ya taarifa zinazotokea katika maisha ya Kila siku (ambazo ni za kawaida tu).

Hivi sasa watu wanakuja kujipumzisha humu na kuburudisha mafuvu yao.
 
Back
Top Bottom