Missed call ya shemeji

Missed call ya shemeji

Mpaka hapo tumeona baadhi ya sababu zinazofanya watu wengi wachepuke ni ukweli usiopingika asilimia kubwa ya wanawake wanaona tendo la ndoa ni kama adhabu vile wanapenda na wanatamani maisha ya ndoa yasihusishe tendo lenyewe huwa wanalazimika kutoa huduma hiyo ili kulinda ndoa lakini si kama sehemu mapenzi ndo maana wengi mapenzi yakiisha wakaachana wanaishia kusema "mwanaume akipata anachokihitaji basi" na mara nyingi imekuwa hivyo maana kila analoliwaza mtu humtokea, tuendelee kupata uhondo huuu lakini tukumbuke michepuko haifai baki njia kuu
 
Daudi1 pamoja na hilo lakini kasoro huwa hairekebishwi kwa kutenda kosa...
Ni kweli mkuu, uwezo wa kufikiri na namna ya kutatua migogoro umetofautiana, Beka aliona hana jinsi nyingine kama mke kwa kumueleza anakuwa mkali wakati jamaa ni mwaminifu, mind you unapochukua hatua mbele kwenda kwa wazaz maana yake huyo mwanamke hakupend au anakupuuzia hapo tafsiri yake inakuwa nini? kama mlipendana kwanza nyie bila kulazimishwa?
 
Ni kweli mkuu, uwezo wa kufikiri na namna ya kutatua migogoro, Beka aliona hana jinsi nyingine kama mke kwa kumueleza anakuwa mkali wakati jamaa ni mwaminifu, mind you unapochukua hatua mbele kwenda kwa wazaz maana yake huyo mwanamke hakupend au anakupuuzia hapo tafsiri yake inakuwa nini? kama mlipendana kwanza nyie bila kulazimishwa?

Hata hivyo huyu dada ake alidhamiria tu kumfanyia ubaya mdogo ake khaaa
 
Hata hivyo huyu dada ake alidhamiria tu kumfanyia ubaya mdogo ake khaaa
Siku zote adui anapotaka kukupiga anaangalia udhaifu wako, sasa Asha hajawah kupika chakula akasifiwa, unyumba wenyewe anataka mpaka mwisho wa mwezi kama mshahara wakat ndani anambwa mwitu
 
MH! MISSED CALL YA SHEMEJI!-15

Eti ni kweli?” alihoji baba mtu uso ukiwa umekunjamana…
Aisha aliinamia chini. Aliwaza ajibu nini, ni kweli au si kweli?
“Nakuuliza wewe Aisha. Na kama ukisema si kweli nampigia simu mumeo naye aje hapa ili nimsikie yeye anasemaje,” alikuja juu baba huyo.
“Ni kweli baba, lakini naomba samahani sana kwa hilo.”
“Ni kweli kwamba?” mama mtu alidakia sasa…
“Namnyimaga unyumba mume wangu.”
“Kabisa kabisa… na unadiriki kusema ni kweli bila aibu Aisha?” alizidi kushangaa mama mtu.
“Enhe, endelea wewe,” sasa hapo baba mtu alielekeza kwa dada mtu aendelee kusema…
“Kutokana na hali hiyo wazazi wangu hasa ikizingatiwa kwamba na mimi nilikuwepo pale bila mwanaume, ubinadamu ukanipata. Kwangu nilihisi kumwonea huruma shemeji yangu kwani ni kijana bado…”

“Uliwahi kumwonya mdogo wako kuhusu tabia hiyo na madhara yake?” aliuliza baba.
“Niliwahi ndiyo. Nilimsema akasema nimwachie na maisha yake.”
“Eti ni kweli Aisha aliwahi kukuonya?”
“Ni kweli.”
“Ni kweli ulimjibu akuachie na maisha yako?”
“Ndiyo.”
“Haa! Kwanza hiyo tabia nani kakufundisha mwanangu Aisha. Mumeo unamnyima unyumba na wewe ndiyo mke, unataka iweje? Aisha unataka sisi wazazi tuseme siri zetu kwenu nyie watoto siyo?” Baba mtu alifoka.
Mama naye akadakia kwa hasira hasa alipokumbuka kwamba aliumwa ghafla…
“Mimi sijawahi hata siku moja kumwambia baba yenu sitaki, hata siku moja. Wewe Aisha umepatia wapi hiyo nguvu mwanangu?”
Dada mtu alimfuata mama yake kwa magoti na kumshika miguu akimwomba asiendelee kusema maneno hayo kwao kama watoto…
“Mama chondechonde, hayo maneno ni laana kwetu mama, usiyaseme.”
“Si ndiyo mnataka!”
Baba mtu alisimama akaingia ndani, chumbani…
“Haya, baba yenu kama hivi ameondoka. Haya yote shauri yenu. Sijui mkoje?” alipomaliza kusema hayo naye akasimama na kuondoka kumfuata mume wake.
Nje walibaki Aisha na dada yake. Walikuwa kimya, hakuna aliyejua nini kifuatie. Ikawa haijajulikani nani anazibeba lawama zote sasa.
Aisha alimwangalia dada yake, akasimama na kuingia ndani. Dada mtu alibaki kwa muda hapo akiwaza, akaenda mbali kidogo na nyumba akapiga simu kwa Beka. Simu hiyo ilipokelewa haraka sana na Beka…
“Haloo…”
“Haloo, mambo shemeji?”
“Poa, vipi huko?”
“Huku poa tu. Mwenzangu nikwambie kitu…”
“Niambie shemeji.”
“Si nimembwaga mkeo huku, kalowa kama katembea kwenye mvua, we acha tu.”
“Ilikuwaje?”
“Kwenye kikao, nikasema yote kisa cha yeye kukunyima unyumba, wazazi wakashtuka sana tena sana. Wakamuuliza alifundishwa na nani kumwambia mume sitaki?”
“Acha bwana…”
“Eee, baba amekasirika hadi akatoka kikaoni, mama naye akaondoka. Hivi hapa nipo nje naongea na wewe.”
“Da! Safi sana shemeji, sikujua kama ungeweza kutumia engo hiyo ya kuninyima unyumba.”
“Wee, unanijua unanisikia! Na mimi nikasema nitumie engo hiyohiyo.”
“Safi sana, nitakutafutia zawadi mama.”
“Nitaipataje?”
“Kwani hurudi?”
“Mh! sidhani, we unaamini naweza kuruhusiwa kuja Dar kwa Aisha? Labda nije kivyangu.”
“Basi siku ukija kivyako nitakuwekea zawadi yako,” alisema Beka.
“Baadaye shemeji, naona mlango unafunguliwa, sijui nani anatoka, nitakupigia,” alisema dada mtu na kukata simu.
Aliyetoka ni mama mtu…
“We huingii ndani kulala?” aliuliza mama.
“Naingia mama.”
Mama akatoka nje kabisa akamwambia kwa sauti ya chini…
“Baba yako amesema ulichofanya si kizuri, lakini alichofanya mdogo wako kwa mumewe ni kibaya sana. Amekasirishwa sana na mdogo wako. Amesema anaweza kusababisha ndoa kuvunjika na yeye hataki kusikia hivyo.”

Kwa mbali dada mtu huyo akaanza kuwaza kuhusu ndoa yake maana tangu amepigwa chini na mumewe hakuwaambia wazazi wake…
“Mimi mama sijafanya kwa nia mbaya.”
“Hapana, ulipoona shemejiyo kakwambia hivyo na umemshauri mdogo wako hataki, ungetuletea habari sisi.”
“Nisamehe mimi mama.”
Mara mlango ukafunguliwa, Aisha akatoka huku akimwaga machozi
 
si bora yangi mimi nacomment kabisa asa kuna watu wanaifuatilia kimya kimya looo

Yaani kama movie! Beka ni Nouma! Manka eehh namie naishi na shemeji yangu yuko OK kabisa na ana wowowo LA kutosha tu. Wife namie hanipi hadi nilazimishe naomba mwambie daudi anipe maujanja
 
Honeyfaith.....niko bize ile mbaya kuifuatilia! Halafu asaliimani eehh yule sweatcandle alianzisha uzi wa house girl kapotelea wapi?
 
Yaani kama movie! Beka ni Nouma! Manka eehh namie naishi na shemeji yangu yuko OK kabisa na ana wowowo LA kutosha tu. Wife namie hanipi hadi nilazimishe naomba mwambie daudi anipe maujanja

utaumbuka vibaya sana acha mara moja
 
Back
Top Bottom