Baba_Enock JF-Expert Member Joined Aug 21, 2008 Posts 7,076 Reaction score 2,465 Jun 3, 2010 #21 karibu tena -!
Mzee Mwanakijiji Platinum Member Joined Mar 10, 2006 Posts 34,250 Reaction score 44,579 Jun 3, 2010 #22 duh Pearl ndio nini kutoweka bila ya kuaga.. ila angalau nakuona ona sehemu...
Fisherscom JF-Expert Member Joined Mar 13, 2008 Posts 1,913 Reaction score 1,036 Jun 3, 2010 #23 Karibu jamvini. Tulikumis si mchezo mamii. Vipi bado upo kwenye banda la kuku?
babukijana JF-Expert Member Joined Jul 21, 2009 Posts 16,397 Reaction score 21,083 Jun 3, 2010 #24 Pearl said: Jamani habari za maisha na masiku tele,kwaweli nawamiss na kuwapenda sana Click to expand... hivi wewe?=ni leo tu nilikua nafikiria kukuanzishia sredi hapa,ninini hivyo au ndo mapenzi kwa akili mukichwa yamekaba?sie wazima tu mamii
Pearl said: Jamani habari za maisha na masiku tele,kwaweli nawamiss na kuwapenda sana Click to expand... hivi wewe?=ni leo tu nilikua nafikiria kukuanzishia sredi hapa,ninini hivyo au ndo mapenzi kwa akili mukichwa yamekaba?sie wazima tu mamii
Balantanda JF-Expert Member Joined Jul 13, 2008 Posts 12,484 Reaction score 4,826 Jun 3, 2010 #25 babukijana said: hivi wewe?=ni leo tu nilikua nafikiria kukuanzishia sredi hapa,ninini hivyo au ndo mapenzi kwa akili mukichwa yamekaba?sie wazima tu mamii Click to expand... Inakuwaje kijana.......uko kimya sana aisee
babukijana said: hivi wewe?=ni leo tu nilikua nafikiria kukuanzishia sredi hapa,ninini hivyo au ndo mapenzi kwa akili mukichwa yamekaba?sie wazima tu mamii Click to expand... Inakuwaje kijana.......uko kimya sana aisee
Mkorintho JF-Expert Member Joined Feb 17, 2009 Posts 594 Reaction score 1,143 Jun 3, 2010 #26 Welkam Bak bi'mdada
babukijana JF-Expert Member Joined Jul 21, 2009 Posts 16,397 Reaction score 21,083 Jun 3, 2010 #27 Balantanda said: Inakuwaje kijana.......uko kimya sana aisee Click to expand... dah mkuu poa nawe nae umepotea kichiz juzi naskia vihonihoni nikawa sielewi kumbe chat inanibip,hili jukwaa jipya zengwe mkuu.
Balantanda said: Inakuwaje kijana.......uko kimya sana aisee Click to expand... dah mkuu poa nawe nae umepotea kichiz juzi naskia vihonihoni nikawa sielewi kumbe chat inanibip,hili jukwaa jipya zengwe mkuu.
drphone JF-Expert Member Joined Sep 29, 2009 Posts 3,542 Reaction score 295 Jun 4, 2010 #28 Pearl said: Jamani habari za maisha na masiku tele,kwaweli nawamiss na kuwapenda sana Click to expand... yani huyo mumeo mbona ana wivu hivyo wakati alikupata hapa hapa
Pearl said: Jamani habari za maisha na masiku tele,kwaweli nawamiss na kuwapenda sana Click to expand... yani huyo mumeo mbona ana wivu hivyo wakati alikupata hapa hapa