dah aisee pamependeza ile mbaya
Aisee nilikuwaga na demu wangu kila jumapili hapo kupungwa upepoNgoja nikapunge upepo kwanza kabla sjarejea dsm
View attachment 615717
Kama kawaida....Mwanza ndo second Tanzania after dsm
Mji ambao SUPU haiwezi kupatikana mpaka ifike saa tatu asubuhi hata uwe na mazuri yepi siwezi kuupenda kamwe.
Kila mtu ana vigezo vyake, niseme tu mwanza huwa pananikera sana kwa hili.
mimi nilifikiri una strong point nilivyoanza kusoma post yako, kumbe unachukia Mwanza kwa sababu ya supu!Mji ambao SUPU haiwezi kupatikana mpaka ifike saa tatu asubuhi hata uwe na mazuri yepi siwezi kuupenda kamwe.
Kila mtu ana vigezo vyake, niseme tu mwanza huwa pananikera sana kwa hili.
mimi nilifikiri una strong point nilivyoanza kusoma post yako, kumbe unachukia Mwanza kwa sababu ya supu!
Hujaona mambo mengine yote umekimbilia supu, halafu kwanza ni uongo inawezekana wewe ulikuwa unakaa Shamaliwa
Maeneo kama soko kuu supu ni kuanzia saa 1 na nusu
unaongea pumba za kiwango cha standard gauge!Kipenda roho ndugu, mimi supu tu, huo mji hata kama hauna umeme litakuwa jiji langu.
Wwe Taja tu maeneo yote yanayouza supu, lakini jua tu haipatikani kabla ya saa tatu asubuhi, ukitaka tubet.
Nimeongelea supu tu, but in mwanza kuna mambo ya huduma za jamii ambayo ni ya msingi upatikanaji wake shida, iweje second to Dar?
Huduma za MPESA, TIGO PESA n.k, ikishafika saa nne usiku, kama hauko maeneo ya villa au deluxe huwezi pata huduma.Washafunga.
ATMs haziko nyingi, wakati wa salarie majanga matupu, most of the machines hazifanyi kazi tena kwa muda mrefu bila kutengenezwa.
Umewahi kuuugua au kuwa na mgonjwa ukiwa Mwanza?, what were your options pa kumpeleka mgonjwa wako? na service ilikuwaje?. Kila kitu hakipo nenda kayonze sijui kayonza, na hapo hakipo kachukue Nairobi.
Hapa Tz, none is next to Dar. Acha kuipendelea Mwanza, Mwanza.
unaongea pumba za kiwango cha standard gauge!
yani hakuna jiji ambalo ni next tu dar?
Wewe ni wa dar?
Kilichofanya dar iipiku mwanza ni uwepo wa bandari na ofisi zote za serikali kuu lakini tofauti na hapo hakuna kitu.
kwa mfano ikulu,bandari na ofisi nyingine za serikali kuu zingekuwa mkoa tifauti na dar unafikiri wale wazaramo bila muingiliano na waarabu na makabila mengine wangeweza hata kujenga Ubungo plaza?