Miss u my mwanza mwanza

Miss u my mwanza mwanza

Kipenda roho ndugu, mimi supu tu, huo mji hata kama hauna umeme litakuwa jiji langu.
Wwe Taja tu maeneo yote yanayouza supu, lakini jua tu haipatikani kabla ya saa tatu asubuhi, ukitaka tubet.
Nimeongelea supu tu, but in mwanza kuna mambo ya huduma za jamii ambayo ni ya msingi upatikanaji wake shida, iweje second to Dar?
Huduma za MPESA, TIGO PESA n.k, ikishafika saa nne usiku, kama hauko maeneo ya villa au deluxe huwezi pata huduma.Washafunga.
ATMs haziko nyingi, wakati wa salarie majanga matupu, most of the machines hazifanyi kazi tena kwa muda mrefu bila kutengenezwa.
Umewahi kuuugua au kuwa na mgonjwa ukiwa Mwanza?, what were your options pa kumpeleka mgonjwa wako? na service ilikuwaje?. Kila kitu hakipo nenda kayonze sijui kayonza, na hapo hakipo kachukue Nairobi.
Hapa Tz, none is next to Dar. Acha kuipendelea Mwanza, Mwanza.
Aisee
 
I real miss mwanza.

Watu wa mwanza ni tofauti na wadsm. Wadsm sisi kila saa tumenuna
 
Mz home sweet home. Mwanza hotel hivi Nata hotel ilishajifia? Utoto wangu mimi ilikuwa enzi zile za makoroboi,mlango mmoja. Mwanza inaendelea kukua na kukua.
 
Back
Top Bottom