Mkomavu
JF-Expert Member
- Jan 25, 2016
- 12,176
- 17,594
Kumbe na wewe msukuma ndio maana akili zako mbovu hivyoWasukuma safi sana ,wanapiga kazi.
Mwanza oyeee
Kumbe na wewe msukuma ndio maana akili zako mbovu hivyoWasukuma safi sana ,wanapiga kazi.
Mwanza oyeee
Hahahahaaaaa et alikuwa anakaa shamaliwamimi nilifikiri una strong point nilivyoanza kusoma post yako, kumbe unachukia Mwanza kwa sababu ya supu!
Hujaona mambo mengine yote umekimbilia supu, halafu kwanza ni uongo inawezekana wewe ulikuwa unakaa Shamaliwa
Maeneo kama soko kuu supu ni kuanzia saa 1 na nusu
Mkuu usibishane na taahira!!unaongea pumba za kiwango cha standard gauge!
yani hakuna jiji ambalo ni next tu dar?
Wewe ni wa dar?
Kilichofanya dar iipiku mwanza ni uwepo wa bandari na ofisi zote za serikali kuu lakini tofauti na hapo hakuna kitu.
kwa mfano ikulu,bandari na ofisi nyingine za serikali kuu zingekuwa mkoa tifauti na dar unafikiri wale wazaramo bila muingiliano na waarabu na makabila mengine wangeweza hata kujenga Ubungo plaza?
Huna picha ya ile lile jengo linalojengwa pale Capripoint mkabala na Chuo cha Benki Kuu?Mitaa mingi mwanza ni amazing sana
Wgr30 msaada hapa tafadhalimwenye picha ya daraja la furahisha atupie hapa basi
kitambo sana Mwanza
Ni hotel ya nyota tano iko chini ya nssf kama sikoseiHuna picha ya ile lile jengo linalojengwa pale Capripoint mkabala na Chuo cha Benki Kuu?
Una picha yake uiweke hapa wee Cajojo?Ni
Ni hotel ya nyota tano iko chini ya nssf kama sikosei
Mkuu uko dodoma sehemu gan maana hata mimi now niko dodomaMwnza ni pazuri mnoo namiss beach zile aiseee nimehamia Dom pakame mpka panaboa. Malaika beach ni noma sana,kwa kishimba aka Rock beach,jembe ni jembe na charcoal ribs na nyingine nyingiii haziishi. Ukijani na mandhari kweli si pakubezwa huko. I love Mwanza
What about Arusha ?Kama kawaida....Mwanza ndo second Tanzania after dsm
KaushaHahaaa naona unataka kurusha chupa
Hata sina mkuuUna picha yake uiweke hapa wee Cajojo?