Miss u my mwanza mwanza

Miss u my mwanza mwanza

Mji ambao SUPU haiwezi kupatikana mpaka ifike saa tatu asubuhi hata uwe na mazuri yepi siwezi kuupenda kamwe.
Kila mtu ana vigezo vyake, niseme tu mwanza huwa pananikera sana kwa hili.
mkuu shokeni supu ya kongoro unapata saa kumi na mbili alfajiri.
 
tembeleeni huu uzi@mwanza city gallery. mkajionee mengi
 
mwanza hamna bandari?
hamna ikulu?
hamna ofisi mbali mbali za serikali kuu?
kwa hiyo na mimi nikuambie kuwa kinachoibeba mwanza over shinyanga,geita n.k ni kwa kuwa vitu vingi vya lake zone/ ofisi za kanda huwekwa hapo?, au kwa vile kuna BOT?
Wewe kwenu wap?
 
Back
Top Bottom