Z Zion Daughter JF-Expert Member Joined Jul 9, 2009 Posts 8,920 Reaction score 4,244 Oct 15, 2010 #81 golder said: i bliv on my IQ, Nina confidence,am presentable,nadhani hivyo ni vigezo muhimu ambavyo huwa wanaangalia katika kumchagua miss tanzania Click to expand... Sasa kilichokushinda kuapply ili uwe miss TZ ni kitu gani? hovyoooooo!
golder said: i bliv on my IQ, Nina confidence,am presentable,nadhani hivyo ni vigezo muhimu ambavyo huwa wanaangalia katika kumchagua miss tanzania Click to expand... Sasa kilichokushinda kuapply ili uwe miss TZ ni kitu gani? hovyoooooo!
U uporoto01 JF-Expert Member Joined May 23, 2008 Posts 4,698 Reaction score 1,429 Oct 15, 2010 #82 Mfunyukuzi said: Lundenda tunajua mashindano yako hayana mvuto na yanatoa maMiss wasio na viwango ila kwa huyu Geneveive umechemsha kwa kweli... Click to expand... Huyu jamaa mwenye fulana ya kijani ni 'houseboy' nyumbani kwao?
Mfunyukuzi said: Lundenda tunajua mashindano yako hayana mvuto na yanatoa maMiss wasio na viwango ila kwa huyu Geneveive umechemsha kwa kweli... Click to expand... Huyu jamaa mwenye fulana ya kijani ni 'houseboy' nyumbani kwao?
Pretty JF-Expert Member Joined Mar 19, 2009 Posts 2,579 Reaction score 575 Oct 15, 2010 #83 uporoto01 said: Huyu jamaa mwenye fulana ya kijani ni 'houseboy' nyumbani kwao? Click to expand... .....Huyo naye ni model wa kiume nadhani anaitwa Martin.
uporoto01 said: Huyu jamaa mwenye fulana ya kijani ni 'houseboy' nyumbani kwao? Click to expand... .....Huyo naye ni model wa kiume nadhani anaitwa Martin.
U uporoto01 JF-Expert Member Joined May 23, 2008 Posts 4,698 Reaction score 1,429 Oct 15, 2010 #84 Pretty said: .....Huyo naye ni model wa kiume nadhani anaitwa Martin. Click to expand... Naona fani za urembo na modelling zimeingiliwa kama hawa ndio wawakilishi.
Pretty said: .....Huyo naye ni model wa kiume nadhani anaitwa Martin. Click to expand... Naona fani za urembo na modelling zimeingiliwa kama hawa ndio wawakilishi.
M mamanalia JF-Expert Member Joined Nov 7, 2009 Posts 666 Reaction score 146 Oct 15, 2010 #85 Katibukata said: No, she is the best kwa waliojitokeza! Hatukuwa na njia nyingine. Warembo kibao TZ lkn hawajitokezi. Vile vichwa vya ukweli viko bize maofisini nk Click to expand... Vitu vya kweli haviendi katika upuuzi huu ambao mie nahisi wanachakachuliwa na kina lundenga na mapedejee wake.
Katibukata said: No, she is the best kwa waliojitokeza! Hatukuwa na njia nyingine. Warembo kibao TZ lkn hawajitokezi. Vile vichwa vya ukweli viko bize maofisini nk Click to expand... Vitu vya kweli haviendi katika upuuzi huu ambao mie nahisi wanachakachuliwa na kina lundenga na mapedejee wake.
JOYCE PAUL JF-Expert Member Joined Jan 8, 2010 Posts 1,005 Reaction score 83 Oct 15, 2010 #86 mfunyukuzi said: lundenda tunajua mashindano yako hayana mvuto na yanatoa mamiss wasio na viwango ila kwa huyu geneveive umechemsha kwa kweli... Click to expand... hongera dada umebarikiwa sana,umzuri kwa sura,umbo na kila kitu.watu wanapenda saana kuchongaaaaaaaaaa
mfunyukuzi said: lundenda tunajua mashindano yako hayana mvuto na yanatoa mamiss wasio na viwango ila kwa huyu geneveive umechemsha kwa kweli... Click to expand... hongera dada umebarikiwa sana,umzuri kwa sura,umbo na kila kitu.watu wanapenda saana kuchongaaaaaaaaaa