Miss Tanzania 2012

Kumbe uko nje???

Watu wengine mtabakigi maskini hivyo hivyo tu, yaani hata akili ya kujibu swali rahisi kabisa huna!!! Internet connection wanakosa wananchi wenye mambo ya muhimu kueleza but unapata wewe usiye na lolote la kueleza, kweli dunia sio fair!!!
 
Are you sure mimi ni maskini?
Kwa taarifa yako, wakiambia masikini wapite mbele (wa kipesa au kiakili), sitapita ngo!

Some of the JF members are mocking at you because of what you have asked?
Why do not you Google????
Such a person dare to call others "maskini?":A S cry:
 
Sasa kaendaa vp akati miss tz bado? Mshindi c ndio hua anaenda kuwakilisha.. Nimevurugwa kidogo hapi

Muda wakutoa mwakilishi ulikuwa umekaribia wakati washiriki wa kanda mbalimbali hawajapatikana, ikaamuliwa ifanyike ya zimamoto apatikane mwakilishi kwa kuwatumia wale walioshiriki miaka ya nyuma. Baada ya mchakato ndio akapatikana huyo Lisa, lakini mchakato wa kumpata Miss Tz unaendelea ila hatawakilisha kimataifa...
 
Back
Top Bottom