........ list imejaa Watanzania wa kike wenye kupenda urembo!
Ni kweli Steve,
hata mimi nilipoangalia picha zao wote kweli nimekuwa na wasiwasi sana, ndiyo maana nikaona angalau niongeze na Kichuguu Mdogo wa Kike, teh!!! teh!!! teh!!! teh!!! teh!!!
Kuna wasichana kama watatu au wanne hvi ninaoona angalau angalu wanajitenga kwenye kundi ingawa siyo wa kujivunia.
Ni moja ya kigezo ,na ndiyo maana huw awanapelekwa Bagamoyo na sehemu mbali mbali ili wawape uroda waandaaji.Hivi ugawaji wa Uroda kiholela pia ni kigezo kimoja cha kushiriki Miss Tanzania?
Mkuu, si vyema kumtuhumu mtu kwa kitu ambacho hahusiki nacho.Nimesema Pendo Laizer ni changudoa kwasababu nimekuwa nikimuona maeneo hayo niliyoyataja kwa mingi sasa including california dreamers (CD) enzi hizo sitaki kwenda mbali kwa kusema amewahi kutaka kuniuzia inatosha tu kusema ni changudoa. Nasikia alikuwa miss higher learning institution sijaamini kusikia kama kwanza anasoma na pia kumuona akishiriki kwenye mashindano haya.Hashimu Lundenga na Lino Agency yenu naona mna kazi kubwa ya kuwashawishi wazazi wayaone mashindano haya si uhuni ili mabinti warembo na waliolelewa katika maadili waweze kushiriki bila hivyo mashindano haya yataendelea kutawaliwa na machangu doa tuu. Its pity kushuhudia haya tunayoyashuhudia katika Miss Tanzania kwakweli nafikiri ikiwezekana mashindano haya yasimamishwe ili waandae mikakati itakayoboresha mashindano yenyewe na aina ya warembo wanaoshiriki.
Nimeona kitu moja ya Jolly Club na Q Bar kabisa? Huyo Pendo Laizer ni CD kabisa jamani duuuh sema suala la uchangu siyo kigezo kinachomwondoa mshiriki mashindanoni lakini nafikiri ni vyema kama washiriki wangeangaliwa kutokana na maadili yao pia.
...
Nilikuwepo vatican mwaka jana wakati wa miss sinza nikashuhudia miss mmoja akiwa jukwaani anajibu swali ilikuwa USIKU akawasalimia watazamaji GOOD MORNING LEDIZ END JENTOMENI!...Hivi huyo akifika miss world si inakuwa kituko tu.
Lundenga na kamati yake wawe serious na wawe wanafanya tathmini after every one year vinginevyo itakuwa mnada wa sura na vipaja....
mdau unayesambaza uzushi kuhusu Pendo umechemsha...ni bahati yake tu..naona ni tabia yake nzuri na urembo wake ndio vinakutia donge..mtoto wa watu wa kimasai katulia hana makeke..twamwombea ushindi tu! wenye wivu mtajijuuu..
Demand And Supply
Wapo Hivyo Kwakuwa Wanahitajika Wawe Hivyo!!
Soko La Hii Bidhaa/fani Ni Kubwa Ndio Sababu Wanaongezeka Kila Uchao.
Naona uhuru wa kujificha nyuma ya computer na kutupa kejeli na matusi ya kutoana utu unatufikisha pabaya. Hivi mja ukiburuzwa kortini kwa kutoa lugha ya matusi utalalamika? Au kwa bahati mbaya huyu binti akipita hapa JF na kuona posting kama hii akajitoa roho , utamjibu nini Mola wako? Au posting kama hii inaisaidiaje jamii?
Nashauri tuache kujichumia dhambi bila sababu za msingi. Tuijenge nchi yetu.
Kichuguu, hawa akina dada wote ni wazuri, ila pamoja na kuwatakia mema wote, sitoficha maoni yangu kwa kweli; i've to say i'm rather pessimistic with further competions past Miss Tanzania for any one atakayeshinda Miss Tanzania. Mnisamehe, ni maoni yangu. Akhsante.
"kichuguu mdogo wa kike" anapotential kubwa!! π
Mkuu uliwahi kuwa mteja wake?Mkuu, si vyema kumtuhumu mtu kwa kitu ambacho hahusiki nacho.Nimesema Pendo Laizer ni changudoa kwasababu nimekuwa nikimuona maeneo hayo niliyoyataja kwa mingi sasa including california dreamers (CD) enzi hizo sitaki kwenda mbali kwa kusema amewahi kutaka kuniuzia inatosha tu kusema ni changudoa. Nasikia alikuwa miss higher learning institution sijaamini kusikia kama kwanza anasoma na pia kumuona akishiriki kwenye mashindano haya.Hashimu Lundenga na Lino Agency yenu naona mna kazi kubwa ya kuwashawishi wazazi wayaone mashindano haya si uhuni ili mabinti warembo na waliolelewa katika maadili waweze kushiriki bila hivyo mashindano haya yataendelea kutawaliwa na machangu doa tuu. Its pity kushuhudia haya tunayoyashuhudia katika Miss Tanzania kwakweli nafikiri ikiwezekana mashindano haya yasimamishwe ili waandae mikakati itakayoboresha mashindano yenyewe na aina ya warembo wanaoshiriki.
SteveD, Nakuunga mkono kauli yako. Ukiondoa huyo Kichuguu mdogo π labda na Florence Josephat sioni mshiriki yeyote wa kuingia hata 20 bora ya Miss Universe. Tanzania tuna wanawake wazuri sana sijui hawa wenye mashindano yao wanawatafuta wapi washiriki. Labda vimwana wale wa kukata na shoka hawapendi kushiriki katika mashindano hayo.
Nadhani mashindano ya Urembo hapa Tanzania yangegeuza mwendo, kweli na hakika tungeacha dhambi na tukaanza kujenga nchi yetu. Lakini mashindano ya Urembo Tanzania ni udhalilishaji wa watoto wa jinsia ya kike...
Ni kweli kuna wale ambao wanashiriki wakiwa na malengo fulani lakin asilimia kubwa ya washiriki ni wale ambao wamegeuza miili yao kuwa ni vitega uchumi.
Na hapa inatakiwa utambue cya kwamba tunaposema ya kwamba fulani ni Changudoa hatumaanishi ya kwamba ni wale wanaojipanga barabarani na kujinadi kwamba 'my milk is standing' la hasha! Fani ya uchangudoa ipo well advance kwa sasa...
Nafurahi kuwa hatuna mtazamo mmoja. Lakini hivi ni nani amemshurutisha mwingine mpaka ufikie kusema mashindani haya ni ya udhalilishaji? Si kila mja anakuja kwa his/her own free will? Hebu fafanua, huo 'udhalilishaji',
a. Udhalilishaji wenyewe ni upi
b. Nani ni mtendewa
c. Nani ni mtenda.
Be specific and streamlined.