Hiyo era ishapita dada, hatuendekezi ujuha!ruth mollel alikuwa CCM akahamia CHADEMA mwezi mmoja kabla ya uchaguzi akapewa viti maalum....Makamanda wapigania chama mlifanya nini? Wema hata kesho akipewa ubunge wa viti maalum hakuna kamanda hata mmoja atanyanyua mdomo wake