mankachara
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 6,161
- 3,495
Nimesoma comment mpaka sasa nimejua maana ya kukremu
kwa hiyo umeona Tandale ndio kuna watu wabaya?. Acha kukremu.
umekremu mkuu watu kama hawa wapo tena wengi tuu
Kama unajua nini photoshop inaweza kufanya na unaweza kuitumia ni rahisi kujua baadhi ya vitu. mf, angalia kona ya nyumba juu na chini ipo straight afu katikati ina curve. then huyo mdada kuanzia kwenye kiuno kuna kama mduara flani ambao umeyaminya hayo makalio kiuno na hips..