Miss Rwanda 2021 contestants

overated hamna kitu hpo...hawawezi kuwafikia wairak mbaali mno
 
Huwezi ona wowowo ndio tatizo lao wengi.
Kama huwajui watutsi nenda mahali walipo uwaone. Hata kama kimbaumbau namna aje lakini kwenye kiuno wapo na shape moja ambayo lazima usuuzike macho. Na ukimkuta anamwili kajazia mkuu unaweza nyoosha mikono juu. Hizi mbanga zimebarikiwa, msema kweli mpenzi wa Mungu. Ila kitabia usijaribu aiseee.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…