Miss parliament!

uyo mama amependeza na gamba lake la kijani aisee...mwanya pia dah...
 
kwa hapo hata mimi ningemwambia " sijui nikupeje"
 
yaani huwa nawaza sana huyu bi kiroboto anavoenda kwenye ziara nje ya nchi anaongea kweli kiingereza au kiswahili? maana sentensi zake za kiingereza zina matatizo mazito sana ya grammar
 
Mi nahisi imechukuliwa picha halisi ya Mama Makinda ikawa zombified!
Nice cartoon.
 
yaani huwa nawaza sana huyu bi kiroboto anavoenda kwenye ziara nje ya nchi anaongea kweli kiingereza au kiswahili? maana sentensi zake za kiingereza zina matatizo mazito sana ya grammar

Nani alikwambia English ni mojawapo ya kigezo cha Uongozi, wengi wanapewa wakalimani hata mama mwanaasha anaye wake.
 
yaani huwa nawaza sana huyu bi kiroboto anavoenda kwenye ziara nje ya nchi anaongea kweli kiingereza au kiswahili? maana sentensi zake za kiingereza zina matatizo mazito sana ya grammar

Lakini ndiye Spika wa bunge letu tukufu. Hata Rais Putin wa URUSI haongeago kiingereza anapokuwa nje ya nchi yake. Kwa technologia ya sasa hivi lugha sio kikwazo kabisaa maadamu kichwani ziwepo za kutosha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…