Miss parliament!

Miss parliament!

Dotworld , unakuzaje picha? plse tell me

i have mozzilla, chrome, internet explorer , huwa napendelea zaidi chrome.

.
Jinsi ya kukuza image - Picha ndani ya JF

Mkuu stineriga unajua tatizo hizo picha huwa zipo kama attachment = hivyo huwa ni ndogo. Ila kama uki-move mouse kwenye picha ukaona ina-maximise na kuwa kubwa fuata haya maelekezo

Kwa Crome web browser fanya hivi --- (ingawa the same can be done kwenye browsers nyingine)

Point mouse kwenye picha hiyo ndogo .... subiri iload ili iwe picha kubwa - ikisha-load na kuwa kubwa - RIGHT CLICK hiyo picha kubwa alafu chagua "COPY IMAGE URL"

Ukisha-copy hiyo image URL ya picha kubwa iliyoload fungua sehemu ya ku-post mfano: "Reply to Topic" ... yaani kama unapost normal katika JF

Chagua ICON inayoitwa INSERT IMAGE

Ikifunguka pop-up window chagua "FROM URL"

Untick "Retrieve remote file and reference locally" == yaani ondoa tick hapo

Bonyeza OK - then post

Utakuwa tayari umeshamaliza.

Jaribu ukikwama niulize tena ntakufafanulia

Pia nakumbuka Tripo9 alishawahi kuniuliza hili swali - najua na yeye atakuwa amepata majibu hapa
 
mkuu anzisha thread ya hii kitu, copy na kupaste hayo hapo juu, hii itasaidia tufanyie mazoezi kwenye hiyo thread, naweza nikafanya mazoezi kwenye ukumbi huu wa jamii photo halafu nikachemka nikapigwa ban kama ndugu yangu alikuwa anajaribu kukuza picha matokeo yake zikawa hazionekani kabisa, akapigwa ban!. sijui jukwaa gani ni mahala pake muafaka? plse do that
 
Dotworld, nashukuru mkuu nimeweza,
nimegundua kuchukua picha kutoka url ndio zinakuwa na ukubwa wote kamili,
ukichukua kutoka kwenye desktop vinakuwa vidogo,
Angalia,
funny-wedding-photos07.jpg
 
Dotworld, nashukuru mkuu nimeweza,
nimegundua kuchukua picha kutoka url ndio zinakuwa na ukubwa wote kamili,
ukichukua kutoka kwenye desktop vinakuwa vidogo,
Angalia,
.
Hongera sana Mkuu stineriga kwa kufanikiwa na mimi nimefarijika kuona ka-tutorial kangu kadogo kameweza kumuelekeza mtu!

Wishing you all the best katika "kukuza picha"! :smile-big:
 
nashukuru sana mkuu,
pitapita mitaa ya jamii photos utaona jinsi nilivyotiririka na thread za photo nilizokuza za kumwaga,
ujuzi hiatakiwi uchoyo,
ubarikiwe,
 
Pamoja na kuzunguka sehemu nyingi duniani, sijawahi kukutana na aina ya mapengo ya huyu Mrembo. Au yanapatikana njombe tu?
 
Back
Top Bottom