Miss Neddy nini shida ?

Miss Neddy nini shida ?

mimi mwenyewe nimeshangaa picha za usiku analeta mchana
maisha yatatushinda mkuu

Kuna mmoja kati yao hapo hakwenda job kasingizia tezi linauma! Nikaamua kumwaga ushahidi
 
Hapana chezea muziki wa muraaa hapo anamuwaza weeee ukizingatia wa sasa anakuwaga kila saa ana stress za arsenal ndio madhara hayo

hahaha nilishasahau kama kuna mkurya wa sasa anafit kote akifungwa mi ndo stress remover wake
 
af mshana jr nani kakupa ruksa ya kuweka picha yangu ile zawadi niliyokuahidi nai cancel
 
Last edited by a moderator:
Yaani huwa unafanyaga siku yangu kuwa murua kwa comments zako...Na avata yako..

Au labda hunipendi
Au labda sivutii
Au labda kisa silipuki
Au labda sikufikishi
Au labda sina mkwanja
Au labda mrefu sio mfupi bora ningekuwa size ya kati
Au labda natoka bara mwenzangu wa pwani
Au labda nina papara
Au labda mweusi
Au labda nipo busy sana
Au labda jina langu MO11
Au labda.........

miss neddy naomba uniweke wazi

wivu umezidi upendo ni uvivu zaidi vitendo kila siku lawama na kunizushia skendo kama hunitaki ni vema uniweke wazi nijue nitambue kwani mademu wapo shazi

Wow
I miss this song...!!!
 
aibu naona mimi yaaani
 
Last edited by a moderator:
Yaani huwa unafanyaga siku yangu kuwa murua kwa comments zako...Na avata yako..

mwenzio nashusha mistari nimuweke sawa miss neddy wewe unafikiri sijui nacheza

Avatar nitabadili kwa ajili yako
 
Last edited by a moderator:
kuwa diplomatic miss neddy, mpe, tena mfikishe, afu baada ya game unaendelea zako kununa kama kawa!
 
Last edited by a moderator:
Kaka wa mimi ohoo muke wa mtu huyu...

sista wewe usijali mambo yote niachie mimi lazima anikubalie tu tunambeba tunaenda naye kwetu milimani namficha miaka mitano akirudi huku ana watoto wawili yule jamaa ake ananisusia
hahaa kakako anataka kuleta maafa huyu fanya tumatafutie mke lol

Wewe huniambii chochote hapa nilipo nimefungwa dripu la soda kwa ajili yako
 
sista wewe usijali mambo yote niachie mimi lazima anikubalie tu tunambeba tunaenda naye kwetu milimani namficha miaka mitano akirudi huku ana watoto wawili yule jamaa ake ananisusia

Wewe huniambii chochote hapa nilipo nimefungwa dripu la soda kwa ajili yako

Utasababisha utafiti ajinyonge na kamba ya viatu buree
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom