Miss Neddy
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 14,684
- 8,754
Hapo anaangalia kama amepigwa ban
hahahahah
Hapo anaangalia kama amepigwa ban
Ndio uache kumuibia mkololoni
Mimi hizo nyusi kama za Frola Mbasha ndiyo ugonjwa wangu nabaki hoi kabisa...Duh ugonjwa wangu Nywele tu...!!!!
Ahsante Mungu kwa uumbaji wako
Sasa unaaangalia nini chini hahahahahahah
Ndo nmeshapaona sasa mwisho wa mwezi huu tena
AAAAAAAAAAAAAAAA miss neddyyyyyyyyyyyyyyy!!!!!!!!!!!!!!!!!!1
Nimebanwa ....
Nakohoaa
Miss Neddy ....Nakupenda penda fulani hivi 😎
Kweli anamapenzi na jf
Mungu wangu......huyu kiumbe sijui nshamuona wapi, daaah............huu mji huu!
hata hilo butu moja....?