Miss Neddy
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 14,684
- 8,754
Kumbe na wewe umemkumbuka eh! Siku zile na viatu vyake vya kibajaji LOL
hahhahaha baba ngina unajua bei ya vibajaji weye
Kumbe na wewe umemkumbuka eh! Siku zile na viatu vyake vya kibajaji LOL
Kumbe na wewe umemkumbuka eh! Siku zile na viatu vyake vya kibajaji LOL
Duh ugonjwa wangu Nywele tu...!!!!
Wataalamu wa kutongoza kijanja jamii forum.
Ntajitaidi
hahahahah afu wewe
Umembamba............
![]()
miss neddy, kwa kuperuzi mtandao wa Jamii Forum umetisha kwa kweli.
Naomba uniwie radhi, nimeona niweke picha hii niliyokupiga juzi ofisini kwako ili kuwaonyesha wadau jinsi unavyoperuzi mtandao wa JF na kujibu hoja mbalimbali za mtandaoni.
Unastahili sifa bibiye.
CC: miss chagga, Heaven on Earth, Karucee, Eiyer, farkhina, Husninyo, Ruttashobolwa, Asprin, Arushaone, PakaJimmy, Mr Rocky, BADILI TABIA, snowhite, Fixed Point, Kongosho, lara 1
miss neddy unatakiwa uwe unaniamkia