Miss Neddy- Nimekubamba sijakubamba....?

Miss Neddy- Nimekubamba sijakubamba....?

Usiku jamani, mi nna ucngizi. Zimeni taa tulale, muache kelele.
 
kweli umtamtambu mtambuzi, mbona naona ni kama anarahatupika? tazama machoi yake vizuri
 
Kuna uzi uliwekwa hapa na mdau mmoja jinsi ya kupata mrembo wa JF, njia moja wapo ni hii unataja jina la mrembo kwa kuanzisha uzi. Naona vijana wanatendea kazi, hatar sana hahahahaaa....
 
Kuna uzi uliwekwa hapa na mdau mmoja jinsi ya kupata mrembo wa JF, njia moja wapo ni hii unataja jina la mrembo kwa kuanzisha uzi. Naona vijana wanatendea kazi, hatar sana hahahahaaa....
hahahahaha cc Mtambuzi
 
Last edited by a moderator:
Hahaahah! Yaani we binti, mi nimelala uko macho, nimeamka uko macho una jf, nimefanya job we wamo! Yaani hadi sasa ... present! Duh, am tired how far you could go!

hahahahahh spade unanionea mi ndo kwanza na log in
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom