Miss Neddy
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 14,684
- 8,754
Weeee ushindwe kabisa, shem kashanikabidhi utunza hazina. Sasa nikasirishe tu kama sijasepa na hela zenu za michango hahaha
Mr Rocky umefichwa wapi....? hebu tumtafute maana juzi nilimuona akiongea na miss chagga, labda atakuwa anajua....

kabanga kuna mtu alinificha na nguo zangu kaloweka kwenye maji na simu kazima kabisa halafu yuko hapa hapa anatanua tuuMr Rocky umefichwa wapi....? hebu tumtafute maana juzi nilimuona akiongea na miss chagga, labda atakuwa anajua....
Huyu jamaa ndugu yangu lakini......
yupo bussy na majukumu ya kifamilia ... acheni kumwita ita mnamsumbua baby wangu Mr Rocky
Mkuu utafiti nipo kaka nilifichwa kidogo na miss chagga
kabanga kuna mtu alinificha na nguo zangu kaloweka kwenye maji na simu kazima kabisa halafu yuko hapa hapa anatanua tuu
Mkuu utafiti mbona huniamini nduguyo aise naona uaminifu unapotea siku hizi
miss chagga kafue nguo zangu bana zikauke niondoke maana toka juzi nimelala tuu ndani
Hahahahah kaka Mr Rocky nakuamini sana ila unajua miss chagga ni mwanangu? Take care...