Miss Mexico, Venessa Ponce atwaa taji la Miss World 2018. Miss Uganda Atwaa Miss World Africa

Hapo sasa halafu hata hawahesabu ushindi wa miss south afrika ndani ya historia za miss world kisa mzungu daah,ubaguzi unatupenda sana sie waafrika kuliko wazungu
hehehe eti ngozi karne hii tena kwenye mashindano kama hayo... kuna mwingine kasema miss Africa ni kutufariji anasahau mabara yana wawakilishi, tabia ya kulalamika ikizidi hata uwezo wa kuchanganua facts unapungua kama sio kuisha
 
Sasa huyo wako kashinda miss Uganda kawa miss world. Wewe wasema twapenda majungu na blah blah kibao sasa mbona wawajibu hao wapenda majungu. Tanzania ndo tulivo majungu haya ishi bora uhamie tu Uganda kuliko bora zaidi.

Kwanza miss world mmoja hzo nyingine ni ushuzi tu
Hahahahaah hio ndoto ya kutisha umeitolea wapi?Miss Tanzania na ushindi wa miss world wapi na wapi,hapa bana kwa confidence mliokua mnampa angeingia japo top 30 ni kaushindi nako pia.

Mie mtanzania pyuuuuaaa kielellezo safi kabisa ambapo ushindi wetu upo kwenye UMBEA,UNAFIKI,MAJUNGU,WIZI WA KURA,UJINGA WA KUTAKA KUSIFIWA TUUUU. Proudly Tanzanian girl
 
Dont panic,ushuzi ndio huo unatutoa mapovu,hope hujaipigiza simu ukutani.

#Proudly Tanzanian girl#

Sijapanic chochote sasa mtu wajitoa ufahamu kisa u team only in Tzii mtu anashikiwa common sense yake eti na team. Think out of the box. Yani my wereva niipige ukutani kisa upuuzi sijafikiria mkuu

Hahaahhaa unanifurahisha daah another sifa ya kitanzania kujishtukia #nohardfeelings#uteam umeuweka wewe tangu mwanzo,hujaweka fact hata moja zaidi ya chuki tupu na word #rotation#

Hongera ka nakufuraisha. Hata sijishtukii hongera mganda usiyejishtukia. Nyie wenye utamu nyumbu huku jf you don't use logic chah yani unakana nchi yako kisa utimu. Facts zimeziweka sana tu..
Hahaaaaa lazima niweke chupi tupu nianike mana sasa joto napigwa tu na upepo mwanana
 
Hahahahah Nchi inakwanwa siasani,mpirani sembuse kwenye umiss pheeew next shindano nahamia nchi nyingine jiandae kunipa uraia mwingine shosti

Tangu mwanzo unalia utimu utimu,yeah kama ni utimu am man u fan,madridista wa maana bila kusahau CR7 fan wa ukweli

Hahaaaaa mimi na kigoma wapi kwani hapo nabishana mwenyewe. Una yako jambo. Mimi kigoma sipajui kabisa
Cariha atakuwa ni mtu wa Kigoma maana ni mbishi sana. Mtapambana siku nzima hapa.
 
Hahahahah Nchi inakwanwa siasani,mpirani sembuse kwenye umiss pheeew next shindano nahamia nchi nyingine jiandae kunipa uraia mwingine shosti

Tangu mwanzo unalia utimu utimu,yeah kama ni utimu am man u fan,madridista wa maana bila kusahau CR7 fan wa ukweli
Hamna nchi isiyokwama USA taifa kubwa lakwama sembuse Tanzania ya dunia ya tatu
 
No attack we are arguing don't take personal
Asiejua maana usimpe maana kila MTU duniani anajua miss world in political kiasi flani na kuna kama watu flani hupewa..
Ukiangalia mwaka Jana kashinda miss India kutoka Asia na aliyetegemewa kushinda ni Miss Nepal ambaye naye katokea Asia yaani wakaamua makusudi kumueka miss Thailand katika continental beauties ili mmexico toka latino America ashinde...

Miss Nepal kashinda beauty with purpose ,multimedia awards na issue za tour ..fast tracks nyingine akafanya poa lakini akaekwa pembeni.. Yaani hiyo ni rotation tu ingawa kuna nchi ambazo ni powerhouse kama mexico, phillipines, India, South Africa na Venezuela ambao kwao kufika top 5 ni kawaida
 
Nakubaliana na wewe kabisa kuhusu hii miss world many people don't understand it aisee na South Ili ushinde lazima uwe mzungu. Wengi wasichojua Africa anayeongoza kushinda ni miss world ni South Africa Ila kwa mweusi ni yule mu Nigeria.

Mimi nilivoona top five huyo mu Mexico kawekwa na Wachovu wengine wasio na vigezo nikajua huyo ndo miss world.

Tena mshiriki wa India naye alikuwa vzuri had project yake ilipitishwa sema ndo asimgerudia. Yani hii miss world Kuna nchi hupokezana ushindi au kuingia top fifteen.
Asiejua maana usimpe maana kila MTU duniani anajua miss world in political kiasi flani na kuna kama watu flani hupewa..
Ukiangalia mwaka Jana kashinda miss India kutoka Asia na aliyetegemewa kushinda ni Miss Nepal ambaye naye katokea Asia yaani wakaamua makusudi kumueka miss Thailand katika continental beauties ili mmexico toka latino America ashinde...

Miss Nepal kashinda beauty with purpose ,multimedia awards na issue za tour ..fast tracks nyingine akafanya poa lakini akaekwa pembeni.. Yaani hiyo ni rotation tu ingawa kuna nchi ambazo ni powerhouse kama mexico, phillipines, India, South Africa na Venezuela ambao kwao kufika top 5 ni kawaida
 
Hahahahaah hio ndoto ya kutisha umeitolea wapi?Miss Tanzania na ushindi wa miss world wapi na wapi,hapa bana kwa confidence mliokua mnampa angeingia japo top 30 ni kaushindi nako pia.

Mie mtanzania pyuuuuaaa kielellezo safi kabisa ambapo ushindi wetu upo kwenye UMBEA,UNAFIKI,MAJUNGU,WIZI WA KURA,UJINGA WA KUTAKA KUSIFIWA TUUUU. Proudly Tanzanian girl
Queen alikuwa ni strong contestant kwa mwaka huu ila maandalizi hakupata ya kutosha..
Ukiangalia zile hotpicks na predictions za mwanzo utaona Tanzania ilitabiriwa kufanya poa..

Kama ulifuatilia vizuri hata kwenye head to head challenge , competition ilikuwa kwa Tz vs Trinidad&Tobago..means queen alikuwa fresh ila maandalizi hayakuwa mazuri hasa katika muonekano. Miss Uganda baada ya kushinda head to head challenge ndo akaanza kupata ratings ila kabla ya hapa hakuwa tishio hata kidogo

Tunachoweza kuwapongeza waganda ni kwa jinsi walivyoandaa mashindano na mrembo wao ingawa kwa Afrika..Thulisa key wa south Africa alistahili hilo taji sema wakamueka mganda ili mambo yaende km walivyopanga
 
Mie mwenzenu jina tu la huyo miss Tz lilikuwa linanipa kichefuchefu. Ingekuwa kwenye biashara ningesema ameiba brand au trade name ya watu. Ati Queen Elizabeth??? Hakukuwa na majina mengine?? Ni vitu vidogo lakini vinaathiri sana perceptions....hasa katika masuala haya ya arts ambapo objectivity huwa na nafasi ndogo sana.

Poleni na mniwie radhi kwa nitakaowakwaza kwa hili lakini hayo ni maoni ndio yangu.....na kila mtu ana yake
 
Back
Top Bottom