Miss Mexico, Venessa Ponce atwaa taji la Miss World 2018. Miss Uganda Atwaa Miss World Africa

Numbisa

JF-Expert Member
Dec 12, 2016
267,886
1,093,937
Miss Mexico Venessa Ponce yatwaa taji la Miss World 2018, huku Miss Uganda akitwaa taji la Miss World Africa.
images(1).jpg

Mashindano ya Miss World yamemalizika huko China kwa mrembo kutoka nchini, Mexico Venessa Ponce De Leon kutwaa taji la Miss World 2018.
45311555_213128422921556_1678584633999848250_n.jpg

Top 5 continental winners ni Mexico – Americas Thailand – Asia/Occenia Uganda – Africa Jamaica – Caribbean Belarus – Europrle
images(2).jpg
>>TANZANIA HATUPO
 
Miss Mexico Venessa Ponce yatwaa taji la Miss World 2018, huku Miss Uganda akitwaa taji la Miss World Africa.View attachment 960872

Mashindano ya Miss World yamemalizika huko China kwa mrembo kutoka nchini, Mexico Venessa Ponce De Leon kutwaa taji la Miss World 2018.View attachment 960868

Top 5 continental winners ni Mexico – Americas Thailand – Asia/Occenia Uganda – Africa Jamaica – Caribbean Belarus – Europrle View attachment 960873>>TANZANIA HATUPO
Mbona ana sura ya bi kidude?
 
Miss uganda yupo vizuri kujieleza na anajiamini balaa. Miss wetu kizungu cha kuunga unga tu hajiamini. Miss Tanzania ingemfata nancy sumari awape ujuzi kidogo
Nasikia umiss hawaangalii sura tu. Wanaangalia mpaka akili na uwezo wa kujieleza, Tanzania itakua tunafeli kwenye ukosefu akili maana wazuri tuliwahi kua nao.
 
Quiin Abenakyo (born 1996) is a Ugandan model and beauty pageant titleholder who was crowned Miss Uganda 2018.[1] She represented Uganda at Miss World 2018 in China.[2] At the Miss World 2018 contest, Abenakyo was a winner in the head to head challenge portion of the contest, thereby placing among the Top 5. She is the first Ugandan to place this high in this annual pageant.. Source Wikipedia
Na alivokomaa hivo hushindwi ambiwa kazaliwa mwaka 99...
 
Miss world hawaangalii kujieleza miss wetu alikuwa mzuri kuliko Uganda. Miss Uganda kilicho mubeba ni kushinda head to challenge iliyo mu boost mpaka kuingia top 15 pia kura alipigiwa nyingi mno. Halafu kila bara lilikuwa lazima litoe mshiriki top 10kwa Africa tulipata washiriki wawili na wote walikuwa kutoka Africa, baada ya kushinda head to challenge. Kilicho waangusha finali wakawa wabovu miss Mexico akawashinda vigezo cha urefu na uzuri.
Miss uganda yupo vizuri kujieleza na anajiamini balaa. Miss wetu kizungu cha kuunga unga tu hajiamini. Miss Tanzania ingemfata nancy sumari awape ujuzi kidogo
 
Quiin Abenakyo (born 1996) is a Ugandan model and beauty pageant titleholder who was crowned Miss Uganda 2018.[1] She represented Uganda at Miss World 2018 in China.[2] At the Miss World 2018 contest, Abenakyo was a winner in the head to head challenge portion of the contest, thereby placing among the Top 5. She is the first Ugandan to place this high in this annual pageant.. Source Wikipedia
Thank you sweet pie, and nimegoogle miss world naona ni wa 92...
 
Mbn miss world sio mrefu sana? Ana 1.73 ila nahisi wetu atakuwa na 1.8hukooo. Tatizo lugha mama, lugha ni changamoto. Wawe wanaenda na wakalimani. Ila miss ug mmh
Miss world hawaangalii kujieleza miss wetu alikuwa mzuri kuliko Uganda. Miss Uganda kilicho mubeba ni kushinda head to challenge iliyo mu boost mpaka kuingia top 15 pia kura alipigiwa nyingi mno. Halafu kila bara lilikuwa lazima litoe mshiriki top 10kwa Africa tulipata washiriki wawili na wote walikuwa kutoka Africa, baada ya kushinda head to challenge. Kilicho waangusha finali wakawa wabovu miss Mexico akawashinda vigezo cha urefu na uzuri.
 
Mbn miss world sio mrefu sana? Ana 1.73 ila nahisi wetu atakuwa na 1.8hukooo. Tatizo lugha mama, lugha ni changamoto. Wawe wanaenda na wakalimani. Ila miss ug mmh
Huyu aliwazidi urefu hao wenzake aisee na vingine. Lugha sio shida Kuna walioingia top fifteen kingereza cha kawaida kabisa. Hafu hyo head to head challenge haikuhitaji lugha, pia project ya kijamii na impact yake ilibeba washiriki. Kwenye lugha kikubwa ueleweke. Miss India kingereza chake kulikuwa sio kizuri Ila kaingia top 30 hafu hapo na bahati muhimu pia aisee. Tusijilaumu Watanzania miss wetu alikuwa vzuri mno. Sema lazima top five apatikane
 
Bahati mbaya mpira na umbea umenikaa kichwani kuliko hili shindano ila kujieleza muhimu sana uzuri faida ya ziada tu na kura pia nyongeza. Miss uganda kastahili,ukiangalia kilichomsaidia nancy enzi zake ni kujiamini kizungu kwa sana,kujieleza
Miss world hawaangalii kujieleza miss wetu alikuwa mzuri kuliko Uganda. Miss Uganda kilicho mubeba ni kushinda head to challenge iliyo mu boost mpaka kuingia top 15 pia kura alipigiwa nyingi mno. Halafu kila bara lilikuwa lazima litoe mshiriki top 10kwa Africa tulipata washiriki wawili na wote walikuwa kutoka Africa, baada ya kushinda head to challenge. Kilicho waangusha finali wakawa wabovu miss Mexico akawashinda vigezo cha urefu na uzuri.
 
Mimi nimelifatilia Hilo shindano kingereza sio kigezo as long as unaongea ueleweke no problem maana kule hawatafti linguistic au mwingireza. Ingekuwa hivo Uingereza ingeshinda daily. Hafu kura nayo sio kivile lilian kamazima alipigiwaga kura na hakufika mbali. Miss Uganda bahati na challenge aliyoshinda na kwa Africa lazima angeingia tu though kawa number nne. Hafu Nancy naye kilicho msaidiaga alikuwa anajituma sana kwenye hizo challenge ndo iliyo mu boost mpaka top five
Bahati mbaya mpira na umbea umenikaa kichwani kuliko hili shindano ila kujieleza muhimu sana uzuri faida ya ziada tu na kura pia nyongeza. Miss uganda kastahili,ukiangalia kilichomsaidia nancy enzi zake ni kujiamini kizungu kwa sana,kujieleza
 
TOP 12

Maria VASILEVICH - Belarus
Maëva COUCKE - France
Linzi MCLELLAND - Scotland
Kadijah ROBINSON - Jamaica
Larissa SEGAREL - Martinique
Vanessa PONCE DE LEON - Mexico
Solaris BARBA - Panama
Anne Murielle RAVINA - Mauritius
Quiin ABENAKYO - Uganda
Shrinkhala KHATIWADA - Nepal
Jessica TYSON - New Zealand
Nicolene Pichapa LIMSNUKAN - Thailand
 
TOP 30

Anahí HORMAZABAL - Chile
Anukreethy VAS - India
Anne Murielle RAVINA - Mauritius
Vanessa PEH - Singapore
Veruska LJUBISAVLJEVIC - Venezuela
Jannatul Ferdous OISHEE - Bangladesh
Larissa PING LIEW - Malaysia
Vanessa PONCE DE LEON - Mexico
Nicolene Pichapa LIMSNUKAN - Thailand
Quiin ABENAKYO - Uganda
Maëva COUCKE - France
Marisa BUTLER - United States
Kanako DATE - Japan
Shrinkhala KHATIWADA - Nepal
Peirui MAO - China PR
Reihana KOTEKA-WIKI - Cook Islands
Maria VASILEVICH - Belarus
Angeline FLOR PUA - Belgium
Katharine WALKER - Northern Ireland
Natalya STROEVA - Russia
Linzi MCLELLAND - Scotland
Anita UKAH - Nigeria
Thulisa KEYI - South Africa
Solaris BARBA - Panama
Ashley LASHLEY - Barbados
Kadijah ROBINSON - Jamaica
Larissa SEGAREL - Martinique
Jessica TYSON - New Zealand
Alya NURSHABRINA - Indonesia
Vy TRAN - Vietnam
 
Back
Top Bottom