Tanzania tumefikia hatua hii kutumia mitandao vibaya wakati tuna matatizo kibao umesahau kwamba kijijini kwenu watu wamepoteza tumaini uliyeleta huu uzi jaribu kuwa mzalendo hata chembe ya haradai
Miss...anatakiwa awe hajaolewa au na umri hauna kigezo hapa?
He kumbe listi ndefu ehhh?Mie nitamtaja baadaye (sio yule ambaye pm imegoma lakini).
huo uzuri unaousema tutaujua vipi,au hili ni shindano la uso kwa uso jukwaani,,,,,,,,kama hiki kigezo kikitumika utamjuaje Asnam ni mzuri,au tutabase kwenye imagination?
muongozo tafadhari!!!!!!!!
nimeshaona umemtaja tayari :hurt:Mie nitamtaja baadaye (sio yule ambaye pm imegoma lakini).
Avatar itakuwa na asilimia kadhaa, unajua mtu huanza kujitransform taratibu mpaka afanane na avatar yake!
Japo sikupata kopi ila ninachokiona ni kubebana kulikopindukia hapa jf. Pia hapa tupo kama kivuli utanijuaje uzuri wangu au tabia na kubwa hapa ni itikadi za vyama. Mi nitaendelea kuwa mtazamaji na mfadhili kama mtataka.
kiwatengu this year je!!!!!!!1last year charminglady alishinda..
avatar zinawakilisha uhalisia wetu jamani kama uliweka picha ya mbuyu ujue ndio hivyohivyo (just kidding... Lol)
lundenga atakuwa nani?? Maana nataka kuwania nafasi ya ujudge