angalieni zipu zenu zisije zikatoboa suruali
Pa1 sanaaaaaaaaaaaaaaaaa !!!!!!!!!!!!!!!!Aku mie nataka ile iliyojaziajazia neema za Allah sheikh, basi itokeee tu alkini mie nafsi yangu nataka ile mizigo ya Kiafrika ile............hahahaha umenikumbuusha mawaidha ya Sheikh
Dunia ni yenu, chaguo ni lenu....
Heri yetu tulishajistaafia!
Aku mie nataka ile iliyojaziajazia neema za Allah sheikh, basi itokeee tu alkini mie nafsi yangu nataka ile mizigo ya Kiafrika ile............hahahaha umenikumbuusha mawaidha ya Sheikh
Piga kitu ya mkataba(viagra) ,bado unahitajika mkuu !!!