Miss Eritrea Si Mchezo! Moto Chini!

Miss Eritrea Si Mchezo! Moto Chini!

Wengi wangapi?

Hilo ni swali, sio statement, kwa kuangalia wanaume wa JF wanavyopost.

Nadra kukuta Miriam Odemba au Alek Wek black beauty types.

Is this typical or a fad apparent in the JF bubble?

090509031720454323627104.jpg
 
Hawa mabinti ni warembo kwa kweli! Duh!
 
Kaka vitu Kama hivi inabidi uweke full picture sio kapicha kadogoo. Tutake radhi tafadhali


Sent from my Nokia 8310 using Tapatalk
Daaahhh..nimecheka hapa..naona boss unataka full utamu siyo...!!siyo anaweka vitu kama mavi ya sungura aisee
 
Back
Top Bottom