Tangu umiss chit chat uanze final hakuna anaye zidisha kura 50 iweje leo. itabidi tupige kura za wazi kama mwanzo. ili waungwana wa kuhack waumbuke. kuna member wapya zaidi ya 100 wamepiga kura. hao nina mashaka nao. hakuna member mpya aliye mpigia Arabela. mia
Namshangaa mtoa mada anavyotoka povu.... Anataka kuyafanya mashindano haya kama YA USA while tupo kichitchat....???????
Hebu mwambie apunguze povu... Chitchat haiwezi kufanana na jukwaa la siasa.... Watu hawapo serious km anavyofikiria!!!!
ha,ha,ha...huwa nikishinda jukwaa la siasa lazm uso ukunjamane,teh,teh...emu kaa ndan bwana usitoke nje umeskia?utatoka C6 akija tu bhas
ok ok okey!!!!!
Lingine mie humu ni wa msimu tu, nimetokea leo hutoniona humu ndani hata mwezi
Alaa kumbe... Basi ni bora uwe unaishia huko huko make humu ngumi hazitokawia!!!
nyie nyie mliomba kupiga kura kwa wazi kuondolewe, leo tena hamtaki kompyuta ifanye mambo yake eti kuna watu wanachakachua, sasa nyie wakati Madame B anaongoza mlishangilia sana sasa ivi charminglady mnaomba mambo yabadilike, mie nilikwambia Ruhazwe JR nikiingia kama mdhamini litaibuka zengwe hapa mtashangaa ngoja nikae pembeni niwaangalie mpaka mwisho wenu, labda ntakuwa mdhamini shindano lijalo
Najua vizabinazabina wataona wivu afu watachonga sana juu yetu....ACHANA NAO!!!Babuuuuuu wewe tena!!!! Kha....... Kamwe sitakusahau
Najua vizabinazabina wataona wivu afu watachonga sana juu yetu....ACHANA NAO!!!
hii poll ina faida yake na hasara yake!
hasara yake - fake id zinazopiga kura hazionekani, zinajipigia kura tena na tena!
faida yake? - sijui
nyie nyie mliomba kupiga kura kwa wazi kuondolewe, leo tena hamtaki kompyuta ifanye mambo yake eti kuna watu wanachakachua, sasa nyie wakati Madame B anaongoza mlishangilia sana sasa ivi charminglady mnaomba mambo yabadilike, mie nilikwambia Ruhazwe JR nikiingia kama mdhamini litaibuka zengwe hapa mtashangaa ngoja nikae pembeni niwaangalie mpaka mwisho wenu, labda ntakuwa mdhamini shindano lijalo
ni kweli mkuu na mie na ushahidi wa ID fake humu ndani nazijua, alafu yeye anasema Invisible kazidhibiti.. hakuna hiyo kitu
ni kweli mkuu na mie na ushahidi wa ID fake humu ndani nazijua, alafu yeye anasema Invisible kazidhibiti.. hakuna hiyo kitu
Huna haja ya kulalamika saaaaana hapa jukwaani. Kwanini uandikie MATE WAKATI WINO IPOOOO??
Wewe cha kufanya peleka huo ushahidi wa ID fake kwa moderators kwani wao ndio wana access ya kuona wapiga kura na ID zao...
mmm!...haya mashinda mpaka yaishe tutaona mengi,.yaan wat hata poll hawaiamin.nataman member wote wakusanyike uwanjani kama taif halafu kila member na id yake mkonon tuone id ambayo haina mtu,teh,teh,teh,...uwiii
Hahahaaaa... Daima Siri ya mtungi, aijuaye kata
Ili radha ya mashindano haya yaongezeka, itabidi kuwe na Kundi maalumu la watu 40 ambao watapiga kura zitakazo amua nani awe miss chit - chat, hizi general wachuje washiriki wawili wabaki watatu then hiyo tume ya watu 40 itaamua. Hii ni kutokana na ID fake kuwa nyingi na inasababisha asipatikane mshindi halari wa shindano hiri.
nawasilisha hoja.