Miss chit chat oyeee

Miss chit chat oyeee

Hongera mamii nimekumiss jamani
E40F.png
E423.png




Sent from my BlackBerry 9700 using Jamii forum

ahsante my dia sis. You mean alot to me. Mwaah
 
Jaman wapendwa napenda kuchukua fursa hii kuwashkuru wote walionipigia kura na wasionipigia na my campaign managers Slave, zubedayo_mchuzi, Baba V, @st.paka mweusi, Kipipi na figganigga kufanikisha kuwa mshindi no.2. Pia nimshukuru Ruhazwe JR kwa kuratibu zoezi zima pamoja na kuwasilisha zawadi kwa uongozi wa jf. Pia salam zangu za dhati ziende kwa uongozi wa jf kwa kuongeza kiasi cha pesa kwenye zawadi zetu na kuziwasilisha kwetu. Pia pongezi kwa washiriki wenzangu. Nawapenda wote and may Jf live long
hongerA ZAKO sanaaa.....leo mi naitwa kampeni meneja..sikuwa kampeni meneja...
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom