Misosi ya kwenye mifuko!!!!

PAS

JF-Expert Member
May 3, 2010
454
8
WADAU NI VP HALI ZENU HUKO NYUMA????
MANA NI MDA KIDOGO UMEPITA SIJAKUA HEWANI HIVYO SIKUJUA MWAENDELEAJE.
sasa mi naskia tu wa2 wanasema mwanamke akitaka awe na shepu la ukweli asiwe anakula chakula kwenye mfuko mana anakosa virutubisho vya kumkuza shepa, hivyo awe anakataa mifuko.. je ni kweli???
mademu tuambieni ili tuwe tunaringa na kuwabania..
 
na ww habar za huko nyuma kuzima? 2waachie wadada 2one wanasemaje.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom