Mada fikirishi zimebaki kwa mshana jr Na wengine wachache sanakwa nini Great thinkers wamekimbia??lol
Dhumuni la dini sio kukusanya sadaka, ndio maana MTU hapangiwi cha kutoa. Dhumuni la biashara ni kutengeneza faida ndio maana kuna bei.interesting question,kinini kinakufanya utoe sadaka at all??kama mtazamo wako ndio huo??sadaka tunatoa fungu la kumi na hao unaowatajirisha kila jumapili,wao wanatoa wapi fungu lao la kumi??mnh
Jibu kwanza aisee nitoe maoni yangukwa nini mkuu?
waislamu mtuachee,,ni sheikh gani anaeishi kwa anasa kwa kutegemea sadaqa za waumini?!!!... labda masheikh wa bakwata...ila hali ya wasomi wa kiislamu ni mbaya MNO!!!
wanaishi maisha ya kubangaiza sana,
ANASA ZINAFANYWA NA WACHUNGAJI NA MANABII,,,HAO NDO WATOZWE KODiii...
sheikh gani mshamuona na selfie kwny ndege,au anasukuma ndinga ya maana?!!!...waislamu jamn mtuache!
hali zetu ni ngumu mno jamn!
Dhumuni la dini sio kukusanya sadaka, ndio maana MTU hapangiwi cha kutoa. Dhumuni la biashara ni kutengeneza faida ndio maana kuna bei.
Kodi hukadiriwa kwenye bei
Na kwa kweli waislam waachwe tu. Hamjajua maana ya kuwatunza viongozi wenu wa kiroho. Mnawaona ka watu wa kawaida lakini laiti ungelijua umuhimu wake kwako ungemtunza.
Wenzenu wakristo wanaona wanavyo waombea nao wakapata. Laiti ungelimpa zawadi Sheikh atakaye kutoa majini na mikosi. Hao mnawaita waganga. Mtafika?
Mleta hoja, usiiletee serekali laana. Sadaka huliwa kwa walioruhusiwa si vinginevyo. Kama vip waangalie wale wezi wa sadaqa.
wewe unatoa ngapi ? kaanzishe kanisa au msikiti wako ufundishe wengine kulipa kodi !kichwa cha habari kinajieleza,
Sadaka, wanazopata ni nyingi mno,
hamna makato yoyote,
nawasifu,kwa kuisaidia jamii,kujenga shule,n.k
lakini bado nilitegemea wafanye mengi kuisaidia jamii,
yaani watu wanakula mpaka wanajisahau,
na wengine ukiwaona,hutaamini kama ni viongozi wa dini,
yaani wanafanana kabisaaaa na watu wa 'mataifa'😀😀,
wakianza kukatwa,wataheshimu hela ya watu.
Umenena vyemaungesemwa makanisa yatozwe kodii..
waislamu mtuachee,,ni sheikh gani anaeishi kwa anasa kwa kutegemea sadaqa za waumini?!!!... labda masheikh wa bakwata...ila hali ya wasomi wa kiislamu ni mbaya MNO!!!
wanaishi maisha ya kubangaiza sana,
ANASA ZINAFANYWA NA WACHUNGAJI NA MANABII,,,HAO NDO WATOZWE KODiii...
sheikh gani mshamuona na selfie kwny ndege,au anasukuma ndinga ya maana?!!!...waislamu jamn mtuache!
hali zetu ni ngumu mno jamn!