donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,129
- Thread starter
- #21
Aisee to eat balls needs ballsTamu sanaa iyoo, ijaribuu.
Aisee to eat balls needs ballsTamu sanaa iyoo, ijaribuu.
Ni kweli kabisa saivi haipatikanHii mishkaki ya kitimoto kuna kipindi ilikuwa inapatikana pale coco beach!
Nielekeze kwenye hilo eneo mkuu!Hii mishkaki ya kitimoto kuna kipindi ilikuwa inapatikana pale coco beach!
Sina uhakika kama bado ipo....palikwa pana-bang sana 2012-15 baadae pakaanza kuwwa hovyo hovyo nishaacha kwenda. Ukifika coco beach uliza tu kwenye kiti moto wapi. Sehemu ingine hapo inauza mishkaki ya fillet hio ipo na ni mizuri hadi kesho!Nielekeze kwenye hilo eneo mkuu!
Palikuwa pazuri sana...unapata kitimoto ya kuchoma au ile ya masalo au mishkaki huku unaburudika na karaoke na watoto wa kumwaga! Sijui kwanini wameacha ile sehemu imekjifia!Ni kweli kabisa saivi haipatikan
That's most important part for real men mkuu...!Aisee to eat balls needs balls
Those were the days mkuu nime remenisce miaka hiyo daahPalikuwa pazuri sana...unapata kitimoto ya kuchoma au ile ya masalo au mishkaki huku unaburudika na karaoke na watoto wa kumwaga! Sijui kwanini wameacha ile sehemu imekjifia!
Daaah ntajaribu aseeThat's most important part for real men mkuu...!
Come n taste,
Aisee to eat balls needs balls
Poa,Daaah ntajaribu asee
Roger thatYeah the rule is....
Don't see/view how it's prepared. ..... enjoy it on the table.
Ever Smiling Kasie.
Special for Kasie
![]()
Karibu!
Karibu pande hizi tule wote basiii...Aaahahahahahhahahahahahaaa weeweeeeee aachaaaaa hiiyoooooo
Nakwambiaaa hiiyooo waaachaaaaaa....... heheheheheh hehehehe
Azarel mzigo huo ushatua ngoja nichukue mgorole wangu nisogee maeneo.
Oolaalaai iiyeee. ..... endelea kuimba basiiii hahahaa
Ashenaleeh Login17 hapa kisima kiko mnaraa hahahahhahahahaaa eeh huwa kinasimama heheheh
Ever Smiling Kasie.
Karibu pande hizi tule wote basiii...
KaribuComing there......
Ever Smiling Kasie