Mlio sikiliza power breakfast Leo najua Mmeipata vizuri.
Jamaa mburahati kauza mishkak ya paka for the last four years!
Amekiri kwa siku anauza paka wanne na kuendelea.
Hivi huyu jamaa hawezi chukuliwa hatua zozote za kisheria?
Jamni hii inasikitisha!!
huwezi kufananisha hivyo vitu viwili
yule ni mwongo kwa sababu aliulizwa familia yako inajua kwamba unafanya shuguli hizo ie unachinja na kupika mishkaki ya paka akasema ndio.. nasomesha watoto wanne shule kwa kazi hiyo
akaulizwa; je wewe na familia yako mnakula hiyo nyama... akazunguka mwisho akasema hapana, hata hawajui kwamba nafanya kazi hiyo....
why contradict yourself???
mtu wa wapi eti mpogolo ukimsikiklliza anaonekana mmakonde
Haa haa haaaa!! Mkuu, vipi unataka ujitapishe kabisa au?! Hatari kweli kweli.Is this true??????????????????????? Or my lord!!! Ni mburahati ipi maana kuna kipindi nilikuwa naenda kwa mshkaji wangu anakaa mburahati bondeni. Ikawa tunatoka na kwenda kula mishkaki maeneo ya kijiweni.....ni wapi huyu jamaa alikuwa???