Kuna kila dalili watumish wa umma watakula xmass bila mshahara kwa kuwa hadi mida hii naingia mitamboni akaunti za watumish hawa wa umama hazijasoma. Du ni uonevu sasa wanataka hawa watu wakatafute wapi hela za sikukuu. Kuna haja ya serikal ya Jk kujipima jaman hawajazoea.
Huko kwenu tu mbona wengine wamechukua!Kuna kila dalili watumish wa umma watakula xmass bila mshahara kwa kuwa hadi mida hii naingia mitamboni akaunti za watumish hawa wa umama hazijasoma. Du ni uonevu sasa wanataka hawa watu wakatafute wapi hela za sikukuu. Kuna haja ya serikal ya Jk kujipima jaman hawajazoea.
Walim tumekufanya nini ndugu yangu?:der:UMEVURUGWA WEWEEti hadi naingia mitamboni,pole mwalimu.
Mishahara imeingia tangu trh 19.