Mishahara ya watangazi wa bongo inaridhisha????

Mbonea

JF-Expert Member
Jul 14, 2009
640
20
Wadau, hivyi katika tasinia ya habari Tanzania kuna mtangazaji anaelipwa mil 5 za Tanzania au zaidi? Lakini kwa Kenya na Uganda mambo ni kama hivyi;

Allan Kasuijja is the highest paid radio presenter in Uganda. The Capital FM Big Breakfast host earns a gross salary of Shs 5.6 million every month. And unbelievable Beat FM's Amarula Family comedian Amooti earns a mammoth Shs 4.7 million making him the second highest paid presenter.

"Beat FM snatched him (Amooti) from Simba FM and this is what he demanded for. It was either that or not was not," an insider at Beat FM told Red Pepper. Radio legend Alex Ndaula is in third position earning Shs 4.5million gross.Bulky Dembe FM presenter Straka Mwezi is the highest earner in the women presenters' league at 4.3 million gross salary. Her take home earnings) is shillings 3m. Seanice Kacungira is the highest paid at Sanyu FM at 2million.Big Ben and Fat Boy both earn Shs 1.6million. Notably radio veteran and journeyman Roger Mugisha now with KFM now earns Shs 2.7 million. These salaries of the radio stars when the radio industry is struggling in the country.Lately advertising revenue for most stations has tremendously gone down with some stations operating in losses. Capital FM alone, one of the most lucrative radio stations in Uganda, has seen it's advertising revenue got to Sjs 180million a month down from Shs 350million in April.

This downward spiral is mainly due to the gloabl economic crisis biting potential advertising companies. The monthly coats of running an average stationin Uganda is between Shs 60 million to Shs 70million.Yet not many stations can make this aount in a month. Some even struggle ot realize it in a year. No wonder most radio stations are on sale lately. The likes of Jazz FM owned by Pastor Martin Sempa, Arien FM owned by Asians in Old Kampala and even 90.4 Dembe FM are on sale and no one seems interested in buying.The full list of Presenters' Gross Salaries (in Shs).


KFM
Roger Mugisha (2.7M)
Radio One
RS Elvis Kalema(2.3M)
Irene Ochwo(2.5M)
Capital FM
Allan Kasujja (5.6M)
Jackie Lumbasi (1.5M)
Flavia Tumusiime (1.3M)
Alex Ndaula (4.5M)
Rahma Mbabazi (Lucky) (1.7M)
Jimmy Jones (3.8M)
Sanyu FM
Seanice Kacungira (2M)
Fat Boy (1.6M)
Melanie Keita (1M)
Big Ben(1.6M)
Denzel (0.7M)
Val Oketcho(1.3M)
Radio City
Irish (0.9M)
Mckenzie (1M)
Hakeem (1M)
Crystal Newman (1.4M)
Others
Bush Baby at XFM (1.5M)
Omulangira Ndausi at Simba FM (2M)

Uganda Online - Highest Paid Radio Presenters



Janet Mbugua goes on air to read news on 800,000K shillings-a-month-pay on Citizen TV
Citizen TV Paying Janet Mbugua Ksh 800,000, Cameramen Ksh 44,000
 
Kweli usilolijuwa ni sawa na usiku wa giza, mkitaka orodha ya mishahara ya wafanyakazi wa clouds wote kwa Ruhusa ya invisible ninaweza nikaupload fomu yao inayokwenda NSSF, ambayo inaonesha mishahara yao na contribution zao, nina uhakika mtacheka mpaka mbavu ziwaume.

Maana wakati mwingine ni afadhali uwe na biashara ya kuuza vocha utapata maslahi mazuri. watangazi wengi wa clouds wanaishi kwa kubomu bia na kuwaibia wasanii ili wapige nyimbo zao redioni + umarioo kwa mademu wapuuzi wanaopenda wanaume wenye kusikika kwenye viredio mbao wakati mfukoni hawana kitu.
 
Umaskini wa kifikra ni kilema na njaa ndio kabisaaaaaa!!!inawafanya wengi kununuliwa kirahisi NA kujikuta wakikipigia debe chama tawala hasa hii radio mawingu na magic FM wakati wanajadili mada ya kitaifa.
 
Usidharau kazi za watu bana!
Sasa dharau iko wapi hapo? hiyo ndio range ya mishahara pale Clouds, by the way mimi sioni kama wanapunjwa maana kazi yao kubwa pale ni kupiga porojo tu masaa 3 mpaka 4 basi siku imekwenda.
Sasa kama yule Steve Nyerere umlipe zaidi ya laki moja kwa mwezi kwa kazi gani? ile kuzurura na pikipiki asubuhi na kuripoti porojo?
 
Kweli usilolijuwa ni sawa na usiku wa giza, mkitaka orodha ya mishahara ya wafanyakazi wa clouds wote kwa Ruhusa ya invisible ninaweza nikaupload fomu yao inayokwenda NSSF, ambayo inaonesha mishahara yao na contribution zao, nina uhakika mtacheka mpaka mbavu ziwaume.

Maana wakati mwingine ni afadhali uwe na biashara ya kuuza vocha utapata maslahi mazuri. watangazi wengi wa clouds wanaishi kwa kubomu bia na kuwaibia wasanii ili wapige nyimbo zao redioni + umarioo kwa mademu wapuuzi wanaopenda wanaume wenye kusikika kwenye viredio mbao wakati mfukoni hawana kitu.
eeeh! hii kiboko.... ila wanapiga pamba kishenzi n ukiwaona pale samaki samaki utasema YES'
 
eeeh! hii kiboko.... ila wanapiga pamba kishenzi n ukiwaona pale samaki samaki utasema YES'
Kupiga pamba ndio mtaji pekee kwa wachovu ndani ya Bongo, kwa watu wenye manoti mara nyingi uvaaji ni simple tu ila wallet ndio utalitambuwa, bahati nzuri wadada wajanja wote wa mjini wanalijuwa hili.
By the way samaki samaki ni sehemu ya kudisplay kwa mateenegers, lakini ma don wana sehemu zao hawahitaji kuuza sura. nikiingia nimevaa pensi na tshirt form six lakini nadrive Range Rover sports, nadhani jibu utakuwa nalo.
 
Nilipomsikia Masoud Kipanya analalamika kufukuzwa kazi ndani ya siku moja baada ya kufanya kazi miaka 9 najikuta nawaunga mkono watangazaji wa redio ya wafu kwa kusapoti magamba. Wameamua tu kumtumikia firauni kwa vile elimu zao sio competitive na kazi wamepata kwa huruma za akina Ruge. Ila waangalie maisha ya uzeeni, wajifunze kwa wacheza mpira na wasanii wanavyochoka wakitoka kwenye chati feki za bongo. Wakati mwingine hata hushangai ukisikia kuna watangazaji wanaliwa masaburi kwa ajili ya kukidhi tamaa zao za kuonekana matawi mjini.
 
Back
Top Bottom