kivyako
JF-Expert Member
- Feb 2, 2012
- 14,341
- 12,045
Ndo nini hii?Hata kura za urais machadema yaliiba sana.
Hadi viongozi Wa ccm waliowasaidia kuiba kura ,walilipwa fadhila ya kupewa ubunge wa viti maalumu chadema.!!!
Ndo nini hii?Hata kura za urais machadema yaliiba sana.
Hadi viongozi Wa ccm waliowasaidia kuiba kura ,walilipwa fadhila ya kupewa ubunge wa viti maalumu chadema.!!!
Walimu wa kanda ya ziwa ndio waliochapwa fimbo,kulazimishwa kuchanga michango,kutolipwa pesa ya kusimamia mitihani nk.Unaposema "wanyonge " una maana gani?
Adui wa mwalimu ni mwalimu"Mwalimu yuko nyumbani wanafunzi wameenda kujisomea kisha wanavunja dawati mwalimu analipa.
Kweli tamko ni la mwendokasi.
Kagera ipo kanda ipi? Kumbuka kuna walimu waliishitaki CWT toka Kagera na wakashinda kesi, hao nao ni "mapoyoyo" kama ulivyosema? Mtumishi aliepigwa kofi na mkuu wa mkoa Dom alikuwa ni wa kanda ya ziwa?Walimu wa kanda ya ziwa ndio waliochapwa fimbo,kulazimishwa kuchanga michango,kutolipwa pesa ya kusimamia mitihani nk.
Au hujui kua ni walimu wasiojitambua.
udikteta wakati mwingine unaleta maendeleo kwa kasi.
Kuna watu wanashangilia baadhi ya matamko ya Magu lakini hawajui anayeumia ni nani, ngoja tusubiri tutaona atakayelalamika.Adui wa mwalimu ni mwalimu"
Thamani ya ulichonacho hujulikana pale unapokikosa,Hii awamu tofaut ya viongozi na watawala inajitokeza,serikali inajivua nguo kwa matamko ya ajabu ajab,hivi kwel raisi hajui kama kuna utaratib katika utumishi wa umma
Si vioja, ni viroja na vimbwanga.Aiseee.
Huu mwaka huu, acha uishe na vioja vyake
Kumbe walimu wa UPE bado mpo? Utakuwa unakaribia kustaafu wewe!Soma hbr uelewe mimi mwalimu na Magu ndio rais boraa kuwah tokea
Thubutu, labda baadhi ya mikao lakini sio............Ukizingatia walimu wengi ni wanyonge hasa wa kanda ya ziwa.
Wataonewa sana.
never,labda utupe mfano haiudikteta wakati mwingine unaleta maendeleo kwa kasi.