Mishahara ya walimu kukatwa madawati yakiharibika

Unaposema "wanyonge " una maana gani?
Walimu wa kanda ya ziwa ndio waliochapwa fimbo,kulazimishwa kuchanga michango,kutolipwa pesa ya kusimamia mitihani nk.
Au hujui kua ni walimu wasiojitambua.
 
Walimu wa kanda ya ziwa ndio waliochapwa fimbo,kulazimishwa kuchanga michango,kutolipwa pesa ya kusimamia mitihani nk.
Au hujui kua ni walimu wasiojitambua.
Kagera ipo kanda ipi? Kumbuka kuna walimu waliishitaki CWT toka Kagera na wakashinda kesi, hao nao ni "mapoyoyo" kama ulivyosema? Mtumishi aliepigwa kofi na mkuu wa mkoa Dom alikuwa ni wa kanda ya ziwa?
 
Hii awamu tofaut ya viongozi na watawala inajitokeza,serikali inajivua nguo kwa matamko ya ajabu ajab,hivi kwel raisi hajui kama kuna utaratib katika utumishi wa umma
Thamani ya ulichonacho hujulikana pale unapokikosa,
Mtanikumbuka.
 
Awe anaandikiwa hotuba...yakitoka moja moja mdomoni mwake yanakuwa hayasomeki na jamii
 
Ama kweli huyu ni raisi wa wanyonge. Maana anatetea mpaka madawati yasivunjwe kwa gharama ya walimu wanaoilipwa mabilioni ya pesa. Safi sana. Hapa kazi tu
 
yakiharibika kwa uzembe utokanao na kutosimamiwa vizuri na walimu ndg zangu-ww unategemea hayo madawati yasipoangaliwa kwa ukaribu yatadumu?
 
Mwalimu mwalimu mwalimuu...poleni walimu, huko tabora kuna mkuu wa wilaya kasema kuna walimu vibaka hao ndio atakaoanza nao..
 
Back
Top Bottom