wewe mie nshajua unachotaka sema...
sasa mie nakwambieni nyote...mwanamke mwema ni yule ambaye wala hana shida na pato lake ...achilia ATM card lazima mwisho wa mwezi ibaki kwa mume.. mwanamke anabaki na kiasi cha mboga na saloon tu..
Ikumbukwe kuwa mme ndio kichwa cha nyumba....
tuacheni tujenge familia.
Hahahaha pesa za mkeo wewe mwanaume za nini?hizo ni dalili za kukwepa uwajibikaji..mambo ya kutunza mke na familia ni la kwako aisee acheni kukwepa majukumu nyie wanaume wa dot com
Hahahaha pesa za mkeo wewe mwanaume za nini?hizo ni dalili za kukwepa uwajibikaji..mambo ya kutunza mke na familia ni la kwako aisee acheni kukwepa majukumu nyie wanaume wa dot com
Yake ni yetu, yangu ni yangu lol.....acheni kukimbia majukumu kiaina
Wakuu,
Hebu na tu shee Experience zenu especialy nyie wenye wake wanaofanya Kazi namna Pato linavyokuwa Distributed Home.
Nataka ku Draw Bonge moja la Conclusion hapa Kwangu
kazi nifanye mimi mshahara umdiskasi nyie akhu!mtuache na mishahara yetu!
ukijua mshara wake wewe ukusaidie nini? kama sio unaa uo, kama akipenda atakuambia mwenyeweeee
huyo mwanamke wewe umemuoa ili umtunze na kumpatia mahitaji yake yote hata kama anafanya kazi. Pesa yake including mshahara ni mali yake na huna mamlaka yoyote juu yake. Ukitaka uanze kujisikia inferior kwa mkeo anza kumtaka mkeo achangie matumizi/mahitaji ya kwenye nyumba yako. Halafu mwanaume kidume kweli haangaiki na pesa ya mke wake!!!!!
mimi kwangu ipo hivi.....pesa zake ni zetu wote.....zangu tunatumia mara moja moja.....
nahisi na mimi nitakuja kuwa kama wewe, now am single seacher
thubutuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
kichwa cha nyumba kinachong'ang'ania ATM ya mkewe? ukichwa uko wapi hapo?
Naona ndoa inakaribia kuitwa ajira sasa. Vigezo na masharti kuzingatiwa..
mishahara ya wake zenu
matumizi
kuosha nywele...3000@wiki
kufanya steaming na dawa20,000 KILA wiki 2
kusuka weaving-150,000@WIKI 2
kuosha miguu.....10,000 KILA WIKI
kutinda nyusi.....2500@KILA WIKI
kubandika kope....10,000@WIKI
kununua chupi mpya kila jmosi at least mbili...10,000
nguo mpya ya kichen party na hereni zake na viatu na mchango.....300,000
zawadi ya shost alojifungua....200,000
ndugu zake
vocha
manguo ,maviatu yalotoka mapya nk:lalala:
Yaani mi nawaonea sana huruma walio kwenye ndoa,utakuta mamaa anafanya kazi ila mwanaume ndo anatoa mpaka michango ya kitchen party ambazo hata wahusika hawajui....halafu siku bange zako zikutume kuwa umechoka unataka kum-divorce huyo mwanamke ndo utajua kuwa hapa town kuna wadada wanasheria wanasubiri wavuta bange kama wewe ili na wenyewe waendeshe Spacio zao.
Mbona ni ajira toka zamani tu!
ndio ni yako je unaifanyia nini? maana maisha ni nyumba watoto mume na huko hutaki kuzitumia .tuambie unapeleka wapi?
mjengo wa nini huko kwenu wa kaka zako sio but kumbuka wana wake zao na watoto wao...yaani unaacha kujengea wanao unamjengea wifi yako na wanae ...tehSaluni na nina mjengo kwetu
mjengo wa nini huko kwenu wa kaka zako sio but kumbuka wana wake zao na watoto wao...yaani unaacha kujengea wanao unamjengea wifi yako na wanae ...teh
Wakuu,
Hebu na tu shee Experience zenu especialy nyie wenye wake wanaofanya Kazi namna Pato linavyokuwa Distributed Home.
Nataka ku Draw Bonge moja la Conclusion hapa Kwangu
duuuh yaani mwanamke unajenga nyumba kwenu,tena kijijini? mmmh mimi sijengi hata banda la kuku pale ni kwa ndugu zangu wa kiume nitapaeshimu na kwenda pale kama mgeni tu...nitajenga kwa mume ambako ndo sehemu halali ya watoto wanguAt the end watoto ni warithi, sasa wasiwasi wa nini. Siwezi kwenda kijijini nifikie kwa kaka
mjengo wa nini huko kwenu wa kaka zako sio but kumbuka wana wake zao na watoto wao...yaani unaacha kujengea wanao unamjengea wifi yako na wanae ...teh
acha ukabila kila mtu na mawazo yake mimi mwenyewe mchagahata mimi nashangaa. amejibu hawezi kwenda kwao akafikia kwa kaka yake. Bila shaka ni mchaga huyo, wao nadhani mila zao kila mtu awe na nyumba yake. Sasa tatizo linakuja kwamba iwapo atakufa nyumba ile inakuwa ya familaa yake au inahamishiwa kwa watoto? Na watoto si ndugu wa pale, wana kwao, na wana ndugu zao wa damu. Kwa mama siwezi kwenda kuomba urith hata iweje, kwani undugu wetu ni kwa kupitia mama, sihesabiki kuwa mmoja wa wanafamila kule. labda our differences in cultures determine these issues