Ng'wanza Madaso
JF-Expert Member
- Oct 21, 2008
- 2,268
- 338
Sio wabunge tu hata watumishi wa serikali punguza ubinafsi
Angalia na kipato cha nchi husika Kenya hawaishi kwa misaada wanategemea uchumi wao pekee, sio omba omba!!! Wewe uchumi wako ni omba omba unajipandisha mishahara fedha zitatoka wapi, mishahara ya wananchi wako ikoje????????Uganda: 19,000,000 Million Ugsh (12,512,184.99 TZS),190 million shillings (125,552,859.19 TZS) per MP to purchase cars
Kenya:
Below is a Kenyan MPs total salary per month
Basic salary = Sh. 395,000
A minimum commuted mileage = Sh. 75,000
Entertainment allowance = Sh. 60,000
Extraneous allowance = Sh. 30,000
House allowance = Sh. 70,000
Monthly car maintenance allowance = Sh. 247,000.
Gym membership allowance = Sh. 2,000.
Vehicle fixed cost allowance = Sh. 336,000
Committee meeting allowance = Sh. 40,000
Constituency allowance = Sh. 50,000
TOTAL TAX FREE = Sh. 1,305,000 (23,819,188.69 TZS)
TANZANIA:
7 million per Month, office of the legislator are stationeries, water, power and telecommunication and all this costs 735,000/- per month.90 MILLION Shilling per MP to purchase car.Daily sitting allowance of TSh70,000 and per diem of TSh55,000.
My take:
Kama tofauti ni kubwa kati ya wabunge wa Tanzania,Kenya na Uganda na ni Tanzania pekee wabunge wanapokea pesa kidogo sana kwa nini wasiongezewe zaidi.Ni halali yao kudai malipo zaidi na kazi zao majimboni ni zaidi ya tunavyofikiria.
Sio wabunge tu hata watumishi wa serikali punguza ubinafsi
Umeongea ki layman sana mshahara unategemea uchumi wa nchi husika, uzalishaji, mapato na matumizi ya ndani, miradi ya maendeleo ya kipindi husika, inflation rate, vipaumbele ya kitaifa nk nk, sijui kama hivi vinafanana kwa nchi zote ulizozitaja, lakini sinta kulaum sana kama vipaumbele vyetu ni mishahara mizuri tena kwa wabunge tu.My take:
Kama tofauti ni kubwa kati ya wabunge wa Tanzania,Kenya na Uganda na ni Tanzania pekee wabunge wanapokea pesa kidogo sana kwa nini wasiongezewe zaidi.Ni halali yao kudai malipo zaidi na kazi zao majimboni ni zaidi ya tunavyofikiria.
Uganda: 19,000,000 Million Ugsh (12,512,184.99 TZS),190 million shillings (125,552,859.19 TZS) per MP to purchase cars